Recent content by homehome

  1. H

    Natafuta mzalishaji au msambazaji wa unga wa sembe

    Nahitaji mzalishaji au msambazaji wa Unga wa sembe tufanye Biashara. Mimi nipo Mtwara, karibu kwa aliye tayari tuwasiliane tufanye kazi pamoja. Namba yangu 0786841164. Asante
  2. H

    Wauzaji wa chaki za shuleni

    Salaam nahitaji mawasiliano ya wauzaji wa chaki za shuleni wanaouza kwa bei ya jumla naomba kwa wauzaji au mtu anayefahamu zinako patikana anifahamishe asante
  3. H

    Tunakufungulia Fursa Mpya Kimaisha! Karibu AIMGLOBAL INTERNATIONAL!

    Maelezo hayajitoshelezi fursa kupitia nini unataka kufanya nini au ni platform !!??
  4. H

    Watoto wa shule ya msingi wakamatwa wakiwa katika mafunzo ya kigaidi huko Vikindu

    Haya mafunzo watanzania wenzangu yapo kila kona ya Ichi hii na yameanza zamani sana tusubiri madhara yake baada ya muda mfupi wakielezwa ukweli wanasema serikali inawaonea na haiwapendi nachoweza kusema it is too late time will tell
  5. H

    Kwanini wengi wanaonyesha wamekata tamaa na mahusiano?

    Ni mabadiliko ambayo ya life style ambayo binadamu tunapitia zamani mahitaji kama ya elimu kwa watoto ilikuwa kwa sehemu Kubwa ni jumuku la serikali hakukuwa na ulazima wa mahitaji ya Usafiri nyumba bora yenye kila kitu mahitaji ya mwanamke kama ilivyo sasa anataka aende salon asuke human hair...
  6. H

    Kwanini wengi wanaonyesha wamekata tamaa na mahusiano?

    Kutokana na ugumu wa maisha wanawake wengi hawawezi kuvumilia akiona hana msaada na mme wake labda mme hayupo tena kazini au biashara imeanguka hapo mwanaume utaisoma namba anaweza vumilia muda mfupi lakini kinachofuata ni kuondoka kwa mapenzi yakiambatana na lugha chafu hakuna heshima hakuna...
  7. H

    Tusaidiane hapa! Migogoro ndani ya familia inakuwa kwa kasi....

    Ukweli hali ni mbaya lakini nafikiri ni sababu za kiuchumi upendo haupo tena
  8. H

    Kilichonikuta na mi Bombardier yenu sipandi tena!!!

    Wanaleta siasa kwenye biashara watashindwa tu hao wanasubiri board member?? Watu wanasafiri kwa malengo kibiashara au kikazi watasubiri hata madiwani
  9. H

    Kwenu viongozi wa kike serikalini ambao ni Waislamu

    Mkuu na wale madaktari wanawake waislamu waambie wasiangalie wala kutreat maiti za wakristo mahospitalini
  10. H

    Kwenu viongozi wa kike serikalini ambao ni Waislamu

    Mkuu siyo wanaweke viongozi tu hata hawa wa kawaida huku mtaani wanaaga maiti za wakristo tena wanapenda sana wanaingia mpaka makanisani wanakuja mpaka makaburini yaani mkuu jitahidi sana
  11. H

    Clinton aacha kilio bungeni Dodoma, Naibu Spika na wabunge wanawake waguswa zaidi kushindwa kwake

    Wanafiki sana ya kwao yamewashinda wenyewe kwa wenyewe ndani ya bunge hawapendani
  12. H

    Wanawake ni wengi mno!

    Really they are so many! And they all for us!
  13. H

    Nahitaji mawasiliano na Mkulima/Dalali wa Vitunguu swaumu vya Babati

    Hi! Nahitaji mawasiliano na mkulima au dalali wa vitunguu swaumu vya babati ili tufanye biashara nipe no zako PM nikupigie asante
  14. H

    Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

    Hawa clouds nao wanakuza mambo na kuwatia watu hofu vibaka wa aina hii wapo tu mtaani kila siku serikali na pamoja na wananchi tuwabaini tuwadhibiti hawana lolote wananchi tukiamua tunawafahamu tunawalea na kuwapa majina ya ushindi Rambo scorpion
Back
Top Bottom