Mbowe, Lowassa, Bulaya, Jacob na mrembo Wema Sepetu kuhudhuria Mechi Baina ya Simba Vs Yanga

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Mwenyekiti Freeman Mbowe , Mh Edward Lowassa waziri mkuu Mstaafu na Mjumbe wa kamati ,Mh Bulaya, Mayor Ubungo Boniface Jacob na Viongozi Mbali mbali wa Chama akiwepo Mrembo wa Tanzania 2006 watahudhuria Mechi Baina ya Simba Vs Yanga Uwanja wa Taifa. Karibuni tujionee maendeleo ya soka na ligi kuu yetu

Hemed Ally
Mwenezi CHADEMA- TAIFA.
 
Yanga ina wapenzi na washabiki zaidi ya milioni 20, Wema Sepetu peke yake ana followers milioni 2.5 kwenye Insta, Uchaguzi wa mwaka jana mshindi alipata kura milioni nane tu!

Iwapo robo ya mashabiki wa Yanga plus nusu ya Washabiki wa Wema wamuunge mkono mgombea yoyote wa kisiasa nchini!, uchaguzi utakuwa mtamu
 
Political analyst at his best!

Tanzania kuna vituko!
 
Yanga ina wapenzi na washabiki zaidi ya milioni 20, Wema Sepetu peke yake ana followers milioni 2.5 kwenye Insta, Uchaguzi wa mwaka jana mshindi alipata kura milioni nane tu!

Iwapo robo ya mashabiki wa Yanga plus nusu ya Washabiki wa Wema wamuunge mkono mgombea yoyote wa kisiasa nchini!, uchaguzi utakuwa mtamu
Oohh masikini!! mahaba ni kitu mbaya sana aisee. Punguza munkari ndugu yangu, haya mambo si rahisi namna hiyo.

Halafu 2020 bado parefu,huyo Wema msimtegemee 100%, muda wowote linaweza kurudi Lumumba.
 
Back
Top Bottom