Recent content by Holyness

  1. H

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Rais Magufuli ndiye alipitisha mikataba Bungeni kwa "Ndio" za "Mia kwa Mia"

    Umeandika ambacho mwenyewe hukielewi
  2. H

    JamiiForums Tanzania ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    We jamaa unaakili, wewe ni msomi mzuri sana bila shaka yaani umeelimika ulipoenda shule shida hawa watu wana ....vyeti hawahakiki elimu
  3. H

    JamiiForums Tanzania ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    But signing big contracts with the govt that established BRELA
  4. H

    JamiiForums Tanzania ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Haya ndio maswali ya maana ambayo mwenye akili anapaswa kujiuliza alafu aongee
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Usichukue, Hapa kunakitu kinatakiwa "recognition" tu. Hawa watu walipigia kelele haya yanayofanywa leo miaka mingi, walipuuzwa sana na kuonekana ni wapinzani. Leo wangetambuliwa tu kama watu wazalendo waluopigia kelele uozo huu na bila shaka walishauri Best way ya kujinasua kutoka kwa wakoloni...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Eti sheria ya usile hadharani, Wakipewa kutunga katiba itakuwa balaa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Unawatamanisha
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

    Eti maslahi mapana ya Taifa letu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  10. H

    JamiiForums Tanzania Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    Mimi wakirusha hicho kipindi nawafungia Star TV, sitaangalia Star TV Kwa sababu wamesaliti wenzao kesho yakiwakuta ya clouds watasemaje?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wazuiwa kwenda Oman kufanya kazi

    Inamaana u housegirl ndio kazi ya kututesea watanzania wenzetu. Naiunga serikali Nikon Ma miguu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Jeuri ya matajiri katika msiba wa Yesu

    Amemaliza kama alivyoanza kubali tu ukweli ili uingie mbinguni kuoka ni lazima. Ni Yesu pekee aliesema naenda kuwaandalia Mahalia ili nilipo na ninyi muwepo, sio mtume mwingine yeyote
  13. H

    JamiiForums Tanzania BOT boresheni mwonekano wa fedha za Tanzania kuhamasisha watafutaji

    Duu hii idea yako ya tofauti sana angalau nimecheka mwenyewe
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hili swala la kuwaita watu makapi sio jambo zuri

    Hili swala la kuwaita watu makapi sio jambo zuri, hata yule alieasisi maneno hayo (makapi, oil chafu) hatuoni akiendelea kuyatumia maana najua alitambua kuwa uliukosea utu wao. Hata kama mtu hakubaliani na wewe na mwisho akaamua kujitenga na kambi yako bado huo ni uhuru wake wa msingi. Kuna...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    Lowasa noma.
Back
Top Bottom