Hili swala la kuwaita watu makapi sio jambo zuri, hata yule alieasisi maneno hayo (makapi, oil chafu) hatuoni akiendelea kuyatumia maana najua alitambua kuwa uliukosea utu wao.
Hata kama mtu hakubaliani na wewe na mwisho akaamua kujitenga na kambi yako bado huo ni uhuru wake wa msingi.
Kuna watu wanawaita wengine makapi wakati wenyewe hawana kitu chochote kiutendaji kama hao wanaowabeza hili sio jambo zuri.je mtu anaebadilisha kampuni kikazi nae kapi?