Recent content by Hoist

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi unamtongoza mwanamke wa mjini unatuma vocha ya buku? Mngejua mnavyotukanwaga

    Aliyewaambia mkitongozwa lazima mpewe hela nani huyo?!!. Ndio mana mtaishia kutumika kila siku, hela yangu nitakupa lakini sharti ukubali nikutumie ninavyotaka. Mwanamke anayejiheshimu anaomba hela akiwa na shida kweli.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sipo comfortable na salamu za kiswahili

    Au utakuta mtu anakuuliza mbona umepungua, au mbona umenenepa sana! Full unafiki na umbeya.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ni siri gani uliyoificha kwa muda mrefu?

    Mkuu nakushauri mshirikishe mapema mke wako wa ndoa hilo suala, baadae itakuja kuleta shida kubwa zaidi kuliko unavyofikiria.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wanandoa kuwa na akaunti moja ya fedha: Je kuna umuhimu au ni hatari?

    Mimi na mke wangu tuna akaunti moja kwa ajili ya ujenzi, uwekezaji, biasahara etc, ingawa hiyo akaunti ni yangu nilichofanya nimempa kadi akae nayo yeye, kwa hiyo kila mtu akipata visenti anatumbikiza humo. Kushare akaunti na mume au mke wako sioni kama ni tatizo, provided mnaelewana na mna...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Upinzani si uadui, Nape Nnauye ndani ya rangi za CHADEMA!

    Hiyo picha ni ya zamani sana kipindi cha vugu vugu la uchaguzi wa 2010.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hii guest ipo njombe kama auna cheti cha ndoa hamruhusiwi kuchukua chumba

    Ukiona Guest ina majina kama hayo, usipoteze muda wako kuingiza michepuko humo!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Ifahamu North Korea hakika kwa picha hizi utabaki kinywa wazi

    Raisi Kim ni shabiki mkubwa wa basketball , hivyo amekuwa akimualika mara kwa mara best yake Rodman kwenda kutoa mafunzo na hamasa ya mchezo huo kwa vijana wa North Korea. Ingawa urafiki huo wa Raisi Kim na Dennis Rodman kuna wakati ulizua sintofahamu nyingi ukizingatia tension iliyopo kati ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Badili mwonekano harmonize

    Nimecheka sina mbavu!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa aina hii watanifanya nifungwe miaka 30

    Huku kwetu Lindi kuna jirani yangu yupo matatani kwa sababu ya hao watoto, tena mtoto mwenyewe wa shule ya msingi
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Kesho sio ile ya Jana:wakati wavulana walipokuwa watoto, na wanaume walipokuwa Wavulana.

    Siku hz wametekwa na video games
  11. H

    JamiiForums Tanzania Huyu Lunyamila inaonekana enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali

    Jackson Mayanja kocha wa simba anamjua vizuri Lunyamila
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kula ugali usiku nacho ni kipimo cha umaskini

    Wali ndo haufai kabisa kuliwa usiku tofauti na mtoa mada anavyojaribu kuwaaminisha watu hapo juu, wali ni aina ya chakula chenye kiasi kikubwa sana cha wanga na digestion yake inachukua muda mrefu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Daladala za Zenji

    Hizo daladala hata huku bara zilikuwepo miaka ya nyuma, kizazi hiki cha fb, instagram na whatsapp hawazijui!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Huku Lindi tunawaita Lupili, hao nyoka ni wapole lakini balaa lake si mchezo
Back
Top Bottom