Tuisaidie TANESCO, badala ya kuichukia. Tuwape njia zitakazosaidia kuondokana na mgawo huu wa umeme. Song gas sio mali ya TANESCO, bali wananunua huduma tu. Mtoa huduma anasema nansitisha huduma yake kwa muda ili afanye matengenezo, na huwezi kumlazimisha. Mabwawa yao ya Kidatu na Mtera hayana...