Simba hoi jaman!!

Hakuna mpira jamani mliiona hii mechi semeni hakuna kitu dah! Tutakalia siasa na kunyang'anyana viingilio vya magetini basii. Tatizo viongozi wetu hawatengenezi misingi bora kwenye timu,, wao ni maslahi binafisi tu. Na bado hata huko kwenye shirikisho watapigwa kama wamesimama:mod:
 
Simba wamevuna walichopanda, hakuna soka bongo-maneno tu; check man u na bac wako halftime na mpira ndo huu siyo hii yetu ya mchangani
 
Mtanisamehe wadau, naomba kuuliza. Hivi mnaposhangilia/kushabikia Simba na Yanga mnaangalia viwango au inakuja "naturally" tu mnashangilia? Maana mimi sioni wanachofanya uwanjani!!!
 
Simba Waliwaharibia sana TP Mazembe, hicho kipigo ni haki yao.
Kaka sheria imechukua mkondo wake na sio wameharibiwa,simba ilikuwa na haki ya kufungwa kwanza wamekusanyana ndani ya wiki moja,pili key player wameuzwa,ligi ilipoisha na kambi ilivunjwa,nne wydad kule kwao ligi haijaisha so wapo pmj kwa muda mrefu kuliko simba,tano ligi yenye timu 12 sio bora sana kulinganisha na za wenzetu,all in all tanzania hatujanipanga kulingana na wenzetu kiwango cha soka tanzania 120 na morocco ni 32 ni mara nne zaidi yetu
 
Kimbelembele chao kutumiwa na waalabu kuiharibia TP Mazembe wasiweke rekodi. Cha kushangaza kama wao walikuwa wanajua sana juuu ya usajili wa wachezaji, kwanini walienda kuuliza kama ni halali wao kumtunia samatta?
 
Mwisho wa ujanja ujanja wa Rage!

tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!! waafrika ndiyo tulivyo, mwengo wa bora tukose wote, mazembe wangeendelea 4 sure wangeshinda. rage rudi tabora kashughulikie barabara na uwanja wa ndege wa tope, wapiga kura wako tunateseka. achana na mpira
 
Kaka sheria imechukua mkondo wake na sio wameharibiwa,simba ilikuwa na haki ya kufungwa kwanza wamekusanyana ndani ya wiki moja,pili key player wameuzwa,ligi ilipoisha na kambi ilivunjwa,nne wydad kule kwao ligi haijaisha so wapo pmj kwa muda mrefu kuliko simba,tano ligi yenye timu 12 sio bora sana kulinganisha na za wenzetu,all in all tanzania hatujanipanga kulingana na wenzetu kiwango cha soka tanzania 120 na morocco ni 32 ni mara nne zaidi yetu

bongo visingizio haviishi.
 
Kimbelembele chao kutumiwa na waalabu kuiharibia TP Mazembe wasiweke rekodi. Cha kushangaza kama wao walikuwa wanajua sana juuu ya usajili wa wachezaji, kwanini walienda kuuliza kama ni halali wao kumtunia samatta?

hasa huo ndo ukweli wenyewe, waarabu wanawaogopa TP Mazembe, hivyo waliwatumia Simba kuwatoa halafu huyo huyo simba wanamwua bila huruma
 
Back
Top Bottom