Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amateur, May 27, 2011.

 1. Amateur

  Amateur Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi jana tu TANESCO walitangazo mgao umekwisha! Leo huku Mwenge kwenye saa kumi na moja wamekata umeme sisi tuwaeleweji. Mimi nachoka kabisa! Kinachonimaliza ni kwamba ukiwapigia emergency 2700367 (Mikocheni) iko busy au wameiweza pembeni. Mimi nina TTCL kwahiyo najua kabisa message inayokupa wakati iko busy kiukweli au ikiwa imewekwa tu pembeni na mara nyingi wameiweka tu pembeni. This is not fair. Information is power. Watuambie tu tatizo ni nini na itachukua muda gani, kuliko kuweka simu pembeni! Afadhali hata ukijua kwamba ni mgao unaendelea kuliko kukaa in anticipation not knowing what is going on. I hate TANESCO I am really pissed off right now!!!!
   
 2. Amateur

  Amateur Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I mean' Mwenge' na hiyo ni ya Emergency Mikocheni -2700367
   
 3. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanesco they are not serious at all
   
 4. h

  hodi Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuisaidie TANESCO, badala ya kuichukia. Tuwape njia zitakazosaidia kuondokana na mgawo huu wa umeme. Song gas sio mali ya TANESCO, bali wananunua huduma tu. Mtoa huduma anasema nansitisha huduma yake kwa muda ili afanye matengenezo, na huwezi kumlazimisha. Mabwawa yao ya Kidatu na Mtera hayana maji ya kutosha, wakulima wa mipunga na mazao mengine ya chakula wanayatumia maji kabla ya kuingia kwenye mabwawa, hivyo hayajai kila mwaka. Vyanzo vingine wamekabidhiwa wawekezaji uchwara.
   
Loading...