KWI KWI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 286
- 84
Kunywa pombe kwa polepole....mfano 1Beer uinywe zaidi ya dakika 40.yani uwe unaweka interval ya dakika 40 kwa kila beer unayokunywa.Siku zote nimekua nikisumbuliwa na mning'inio siku ya 2 baada ya kutumia kilevi tafadhali anayejua tiba(sio kuacha utumiaji)anijuze..
Pia chakula cha kushiba 30 minutes before beer.
Unywe kwa kuburudani......sio pupa pupa kama unakimbizwa.