Recent content by HOC2916

  1. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

    Nimekupenda bure mweee wafundishe na wenzio maana hawajisomi huko ndo maana wanatelekezwa mwanamke Yuko bize anatafuta kiwanja ajenge ukimuuliza anasema anataka mume wake Asimnyanyase sasa unajiuliza huyu kama siyo amekataa kuwa mwanamke nini shida tulia kuwa mwanamke baaa
  2. HOC2916

    JamiiForums Tanzania KWELI Hali ya miongoni mwa Viwanja kilichokuwa kimepangwa kutumika katika AFCON 2017 Gabon kikiwa kimetelekezwa

    This is Africa, chezea Africa wewe hatujawahi kuwa na akili ya kujali na kutunza chochote, tumejaa ubinafsi, Njaa nyingi ujinga ujinga Tu..kazi kweli
  3. HOC2916

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza kuzima Intaneti kuanzia leo Januari 13 ili kupisha Uchaguzi Mkuu

    Hapo ndipo hakili ya viongozi wa Africa ilipoishia
  4. HOC2916

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Zanzibar kupitia chama AAFP: Msajili afute vyama vinavyoashiria fujo

    Inabidi tuanze na wewe ambae unataka wenzio wafutwe lengo lako ubaki peke yako ili ishinde eti tunaijua iyoo
  5. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Hapo mshamba ni wewe paka mwenye bunduki
  6. HOC2916

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Kisiwa cha Amani kimegeuka kuwa kisiwa cha wachawi, Mungu saidia watu wako, lakini hapa lilikuwa darasa la nchi mbalimbali duniani sijui saivi tunaonekanaje vile.
  7. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa waibuka Familia ya Ndugai wakibishana kuhusu anapostahili kuzikwa

    Nyie gombaneni ila kuzika mtazika Tu maana kashakufa msijifanye mmeschanganyikiwa tadhali tulize Akili zenu mkazike, kwani ardhi imehama huko kwenu.
  8. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

    La la la la laaaa hapa Kuna kurogwa sio bure
  9. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

    Ndo shida ya njaa, Mungu tusaidie watoto wako, na watumishi wako unafiki utatuuwa.
  10. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Single mothers tunapambana na ku-risk maisha kwa ajili ya damu ya mtu asiyejali wala kuwaza majukumu yake

    Ulikosea kidooooogo dada mpenzi, kwenda nyumbani na kuacha nafasi wazi kama nyumbani umekaa Kwa shida vile vile kama ulikokuwa Sasa kulikuwa na tofauti gani kubwa sana iliyokufanya wewe uache mume mwenyewe, ukweli hajafanya vizuri kabisaa huyo bwana lakini jifunzeni wanawake.. usideke kiasi cha...
  11. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

    Kwani huko ulaya uwa mnaitwa si njaa zenu izo mnazoendekeza nawaambia na bado, huwezi kula vya Watu afu uwapangie chakukwambia.
  12. HOC2916

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    We mwenyewe ni mtumwa hujajua tu.. jitahidi kutumia library yako vizuri..ukombozi huja Kwa kutoka utumwani mpaka kuwa huru Kwa hiyo inategemea tu ukubwa wa kifungo cha mtumwa as Africa we are still slave so kuwa mpole na usiwe na haraka uhuru kamili upo, na unakuja haraka yako itakuponza tu.
Back
Top Bottom