Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,101
- 190,489
Huyo ndio alikuwa Master Planner wa OCt 29 sasa leo imefikia zamu yake amefanya yale yale aliyoshauri yafanyike BongošUjinga unaambukiza

Ndiyo, si unaona upuuzi unaoendelea Mkuu.Ina maana Trump hakukosea kuiita Afrika HOLE SHIT?!
ishakuwa regular Sasa aiseh Hawa viongozi wakichekewa wanauwa WATU BILA SABABU samia regimeSerikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa.
Kwa mujibu wa agizo hilo, waendeshaji wote wa mitandao ya simu na watoa huduma za intaneti wametakiwa kusitisha huduma hizo kuanzia Januari 13, 2026 saa 12 jioni hadi itakapotolewa taarifa nyingine ya kurejesha huduma.
Huduma zilizosimamishwa ni pamoja na upatikanaji wa intaneti kwa umma, uuzaji na usajili wa SIM kadi mpya pamoja na huduma za data roaming kwa nchi wanachama wa One Network Area.
Hata hivyo, huduma muhimu kama mifumo ya afya, benki, ATM, malipo ya kodi, mifumo ya serikali, umeme, maji, mafuta, usafiri na usalama wa mitandao zimeruhusiwa kuendelea kufanya kazi kupitia intaneti isiyo ya simu.
UCC imesisitiza kuwa matumizi ya mitandao ya kijamii, programu za ujumbe na VPN za simu yakipigwa marufuku kabisa.
Soource: Uganda Communications Commision
Jamaa wanaongozwa na maiti,yule mzee hamna kitu mule.Umeme Leo hakuna,Mzee kupita atapita sijui hofu inatoka wapi
Uganda pacha wake ni TanzaniaSerikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa.
Kwa mujibu wa agizo hilo, waendeshaji wote wa mitandao ya simu na watoa huduma za intaneti wametakiwa kusitisha huduma hizo kuanzia Januari 13, 2026 saa 12 jioni hadi itakapotolewa taarifa nyingine ya kurejesha huduma.
Huduma zilizosimamishwa ni pamoja na upatikanaji wa intaneti kwa umma, uuzaji na usajili wa SIM kadi mpya pamoja na huduma za data roaming kwa nchi wanachama wa One Network Area.
Hata hivyo, huduma muhimu kama mifumo ya afya, benki, ATM, malipo ya kodi, mifumo ya serikali, umeme, maji, mafuta, usafiri na usalama wa mitandao zimeruhusiwa kuendelea kufanya kazi kupitia intaneti isiyo ya simu.
UCC imesisitiza kuwa matumizi ya mitandao ya kijamii, programu za ujumbe na VPN za simu yakipigwa marufuku kabisa.
Soource: Uganda Communications Commision
Huu upumbavu wa kuzima internet wamejifunza kwa Samuya. Hata kule Iran pia wamezima kwa kumuiga Samuya. Huyu bibi ni kichomi.Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa.
Kwa mujibu wa agizo hilo, waendeshaji wote wa mitandao ya simu na watoa huduma za intaneti wametakiwa kusitisha huduma hizo kuanzia Januari 13, 2026 saa 12 jioni hadi itakapotolewa taarifa nyingine ya kurejesha huduma.
Huduma zilizosimamishwa ni pamoja na upatikanaji wa intaneti kwa umma, uuzaji na usajili wa SIM kadi mpya pamoja na huduma za data roaming kwa nchi wanachama wa One Network Area.
Hata hivyo, huduma muhimu kama mifumo ya afya, benki, ATM, malipo ya kodi, mifumo ya serikali, umeme, maji, mafuta, usafiri na usalama wa mitandao zimeruhusiwa kuendelea kufanya kazi kupitia intaneti isiyo ya simu.
UCC imesisitiza kuwa matumizi ya mitandao ya kijamii, programu za ujumbe na VPN za simu yakipigwa marufuku kabisa.
Soource: Uganda Communications Commision
Hapo ndipo hakili ya viongozi wa Africa ilipoishiaSerikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa.