mbona kenya baadae waliamua kurudi analog sisi na wizi huu wa magamba tutafika kweli?
kama tunacopy ya kenya ni vema tutakaanza namna ya nzuri ya kupata mwenyekiti wa tume siyo habari ya kuteuliwa na rais. Umri kigezo kikuu.
mkulu naona hapo kapata picha nzuri na hilo shati lake ndo cha maana hapo.
kesho utasikia tume ya watu kumi
Hv President hahitaji PPE like dust mask kama walivyo wengine?
mimi hapo ndo huwa nashindwa kuelewa yaani mtu alazimisha kuongoza watu.
Nini hasa EL anataka tena kuchukua maana maana alishaseama tatizo ni uwaziri mkuu!
Mimi sina imani na Jaji yoyote hapa TZ kama TL mtu mmoja akataja wote wale je Lema, Mnyika, Dr Slaa na makamanda wengine wakipewa nafasi ya kutaja majaji wabovu itakuaje?
Tatizo litakuwa kwa Semunyu maana EL atamubuliza na siku zote jamaa huwa na atekwa mawazo na wageni wake studio.
Muda mwingine anakoswa hata swali la maana ama anabaki kurudia rudia yaliyosemwa na mgeni wake;
Ushauri wa bure kwa wanamagamba, rudisheni mara moja Lema Bungeni ili mueze kupata nafasi walau ya miaka mitatu iliyobaki. Yule Jaji bado yuko hai na hajabadili namba ya simu. Nape fanya kazi hii ili upumue!
Bora hawa jamaa kwani sisi tuna silaha za kutosha kumbukeni kule Gongo la Mboto na Mbangala tulitumia kwenye watanzania wasio na hatia na hivyo ndo vikosi vikubwa.
Wakuu tukumbuke Rais wetu JK anayo historia ya kuanguka mara tatu nne hivi jukwaani na sababu zilizotolewa na idara husika kuwa ni UCHOVU. Sasa kiongozi wetu anabadilisha nguo akiwa kwenye ndege licha ya kubadilisha family yake kutoka extended kuwa single maana anayefaida mapenzi ni mama salma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.