Recent content by hmtk

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Asante sana kwa ushauri, tutafanyia kazi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Hatujawahi kubadilisha bearings za gear box.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza. Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Mpo vizuri. Ukiwa nje ya DSM unapataje huduma zenu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

    Asante sana, tutakutafuta.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

    Ni wilaya/mkoa gani huo? Huku Mara hadi leo hazijafika na hakuna maelezo.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

    Kuna taarifa gani kuhusu hizo barua? Huku Mara hadi leo ni kimya. Ukimya huu unahusiana na zuio la uhamisho la 28/08/2018?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Open University of Tanzania Wameshatoa Majina Ya Wale Waliomba Lozi Moja Kwa Shahada ya Kwanza!

    Habari mkuu. Naamini tangazo hapo juu litakusaidia namna ya kujiunga na Foundation programme ya Open University.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Open University of Tanzania Wameshatoa Majina Ya Wale Waliomba Lozi Moja Kwa Shahada ya Kwanza!

    FOUNDATION ROGRAMME CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA Tunapenda kuutangazia Umma kuwa, bado tunaendelea kupokea Maombi ya kujiunga na Foundation Programme mpaka tarehe 26/09/2018. FOUNDATION PROGRAME imepewa ithibati na TCU kwa lengo la kuwaongezea sifa wahitimu wa Form Six na Diploma...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Open University warejesha foundation program

    Inamhusu, mwambie aombe.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ramaniza nyumba

    Weka bei elekezi.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya Logo Classic ya Company/Biashara yako na business Cards za kuendana na hadhi yako pitia hapa

    Kazi mzuri. Umetaja bei mbili, Tsh 25,000/= na 40,000/= kutegemeana na aina ya material ulizotumia. Naomba katika picha ulizotuma ungeziweka katika hayo makundi, i.e. 25,000/= & 40,000/=. Ni mzuri, tutakupa kazi. Kila la heri.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Mtwara

    Maeneo mengi yameathirika sana kwani barabara hazipitiki na maji yameingia ndani. Hali ni mbaya na mvua bado ina kila dalili kuwa itaendelea.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Mtwara

    Inanyesha mji mzima wa Mtwara. Sina taarifa za maeneo mengine huko wilayani na mkoa jirani wa Lindi. Mvua ni kubwa hasa na tangu asubuhi jua halijaonekana. Nadhani utabiri wa juzi wa TMA kwa Mtwara umekuwa sahihi kwa asilimia kubwa. Mungu atatuepusha na yenye kudhuru.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Mtwara

    Tangu usiku hadi mchana huu hapa Mtwara kunanyesha mvua kubwa sana ambayo kwa watu waishio kwenye maeneo hatarishi kama mabondeni, kwenye maporomoko, mikondo ya maji na hata nyumba mbovu huenda wakapata madhara makubwa sana. Naomba tutumie jukwaa hili kujulishana kinachoendelea kwenye eneo lens.
Back
Top Bottom