Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

WADAU HABARI

TAMISEMI IMETOA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOTAKIWA KUAMA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MWINGINE LEO TAREHE 10 AUGUST 2018... NILIKUA NAULIZA BARUA YA UAMISHO HUA ZINACHUKUA MUDA GANI KUTOKA BAADA YA MAJINA KUBANDIKWA KWENYE WEBSITE YA TAMISEMI... NATANGULIZA SHUKRANI

Kuna taarifa gani kuhusu hizo barua? Huku Mara hadi leo ni kimya. Ukimya huu unahusiana na zuio la uhamisho la 28/08/2018?
 
Back
Top Bottom