Recent content by hlary junior

  1. H

    Natafuta fundi wa furniture maeneo ya Mbezi Beach

    Natafuta fundi wa furniture mzuri awe dar eneo la kazi Mbezi Beach kwa ajili ya kufanya nae kazi ya kutengeneza furniture's mbali mbali vifaa nahitaji
  2. H

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    sio kulalamika mkuu hta hizo za kujitolea hazipatikani bila refaa xo sio lawana bali ni hali halisii........!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. H

    Interview ya leo (25/3/2014) Zima Moto Vipi?

    Jamanii habari, samahani waliofanya interview leo zimamoto tunaomba mtusaidie updates mambo yamekaaje sisi wengine kesho
  4. H

    Jinsi ya Ku-Apply Kazi za PPF

    sasa imekubali jamani jazeni ndugu zanguuu
  5. H

    Jinsi ya Ku-Apply Kazi za PPF

    bado inakataa mi tangu jana mpka sasa inagoma afu huyo anaesema kuhusu ku upload zaidi ya 5MB huko bado hatujafikia hapa mwanzo tuu haikubali
  6. H

    PPF Vacancies

    adress vip mkuuuu
  7. H

    Cheti cha Darasa la Saba

    mimi cha kwangu kimepotea mimayo loss ripoti naenda kukipata wapi tena msaada ndugu
  8. H

    Natafuta Nguruwe wa kufuga

    ndugu ukifanikiwa kupata info naomba unishirikishe na mimi ukiweza kupitia 0755966673
  9. H

    kilimo cha mananasi

    jamani naombeni mnipe mwongozo nataka kuanza kulima mananasi maeneo ya kiwangwa kati ya bagamoyo na msata kwa hivyo nilikua naomba kama kuna mtu anajishughulisha na huo mradi anishirikishe kuanzia gharama ya kupata shmba la ukubwa wa ekari moja kwani kiwango changu cha pesa ni kidogo kwa hivyo...
  10. H

    kuku wa kienyeji

    habari wa ndugu,jamani nilikua nahtaji kupata kuku wa kienyeji majike walio na umri wa miezi sita kwa ajili ya kufuga mwenye nao naomba tuwasiliane kwa namba 0755966673
  11. H

    900gb za internet kwa sh 15500 tuu

    kwa watakaohitaj internent 900GB kwa mwezi mwzi mzim tuwasiliane ni tsh 15500 tuuu
  12. H

    msaada kuingia katika kampuni za graduates kama mimi

    habari ndugu zangu?mimi nimemaliza chuo mzumbe mwaka huu nilikua naomba kwa vijana wenzangu walioungana wakaanzisha,kampuni au NGO;S nipo tayari kuungana nao niwe mmja wao na ku-utilize ujuzi niliokua nao kuliko kukaa tu nyumbani naombeni sana msaada huooo niko tayari mda wowote nimesoma BBA in...
  13. H

    Marketing job available

    mimi niko tayari kwa hiyo kazi namba yangu ni 0755966673
  14. H

    Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    pole sana mamaa ki ukweli kuna mabo mengine unatiwa kua na msimamo kwa ajili yako na ndugu zako pia kam ulikua unafumani sms akafikia hatua ya kubadili namba huyo sio kiukweli utamsamehe leo next tym atakuletea ukimwi utakua umepata faida gani hiyo ni tabia yake maana hata majibu aliyokupa...
  15. H

    wazo la biasharaa

    hapo si nitahitaji mbegu sasa na mblea shamba pia
Back
Top Bottom