Mtaani tunamoishi matatizo ya watu, mahitaji ya watu ni mengi mno. Mtu ana hela, halafu hana akili kabisa...hawa ndiyo wengi mno.
DSM kwa mfano, kuna watu hawana elimu kubwa, wana vijiwe vya kuhudumia kuku, chips, bits, mazagazaga kama yote wakati wa usiku na mtu anakesha akifanya kazi. Kaajiri...