Usipende kufikia kwa ndugu uwapo safarini

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Nikiwa na safari zangu kwenda eneo fulani, sipendi kufikia na kulala kwa ndugu ama rafiki. Napenda privacy sana.

Unafikia kwa ndugu inawalazimu wao mambo yafuatayo;

1. Kula vyakula ambavyo siyo kawaida yao, ilimradi tu wakuridhishe wewe. Hata kukopa watakopa. Kuna wakati unakula hadi watoto wao wanajipitisha pitisha maana hawajazoea.

2. Wao kulala kwa kujibana ili wakuachie wewe chumba kizuri, kitanda kizuri na mashuka mapya.

3. Ratiba zao za kutoka na kurudi yumbani zinabadilika ili kuendana na ratiba zako wewe.

Kama una ndugu, nenda kawasalimie then kalale mtaani uwape uhuru wa maisha yao. Usipende kubana watu kwa ubahiri wako.

Mtu unatoka Dodoma to DSM, yaani unaanza kusumbua watu na mamizigo yako hadi kwao. Aibu mno! Wakati kuna room hadi za Tsh. 10,000 unalala fresh tu.

Privacy ni nzuri sana. Unaongea na simu zako vizuri. Ukiwa ugenini unaogopa hadi kuongea na simu usiku, mbaya zaidi unakuta umelala na mtoto wa mwenyeji wako!

Mambo ya kizamani kabisa kufikia kwa ndugu na hekaheka zako.
 
Umenena vyema sana Mkongwe
Gonga Meza Maisha yaendelee.
Hapo kwenye Vyakula inaleta shida Maana wao watatumia nguvu zao kibao kukufanya wewe uridhike huku wewe uko flexible hata kula chochote kile .
Pia ukute wao pia Wana Maisha ya kawaida tu inawacosts sana .
Maradhi pia ni Shida sana kukuandalia
 
Maisha sio kama plain paper 📜🗞️ haahaa 😂🤣🤣🤣
Haahaa,
Zamani sana nikiwa shuleni kuna mwalimu wetu alipenda kutuambia....
We differ in different......(WE DIFFER IN DIFFERENT)
wasalaam
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Kwa Sasa
+267
 
Nikiwa na safari zangu kwenda eneo fulani, sipendi kufikia na kulala kwa ndugu ama rafiki. Napenda privacy sana.

Unafikia kwa ndugu inawalazimu wao mambo yafuatayo;

1. Kula vyakula ambavyo siyo kawaida yao, ilimradi tu wakuridhishe wewe. Hata kukopa watakopa. Kuna wakati unakula hadi watoto wao wanajipitisha pitisha maana hawajazoea.

2. Wao kulala kwa kujibana ili wakuachie wewe chumba kizuri, kitanda kizuri na mashuka mapya.

3. Ratiba zao za kutoka na kurudi yumbani zinabadilika ili kuendana na ratiba zako wewe.

Kama una ndugu, nenda kawasalimie then kalale mtaani uwape uhuru wa maisha yao. Usipende kubana watu kwa ubahiri wako.

Mtu unatoka Dodoma to DSM, yaani unaanza kusumbua watu na mamizigo yako hadi kwao. Aibu mno! Wakati kuna room hadi za Tsh. 10,000 unalala fresh tu.

Privacy ni nzuri sana. Unaongea na simu zako vizuri. Ukiwa ugenini unaogopa hadi kuongea na simu usiku, mbaya zaidi unakuta umelala na mtoto wa mwenyeji wako!

Mambo ya kizamani kabisa kufikia kwa ndugu na hekaheka zako.
Tatizo lako ni moja,
Umechukulia hali ya ndugu zako ilivyo ndo hali ya ndugu zetu wengine ilivyo pia of which its very wrong!

Fikiria mara mbili kabla ya kupost!
 
Ndio maana mimi nikienda ugenini huwa nawaambia nina matatizo ya miguu(uroto)...
Kwaiyo siruhusi kula nyama yoyote me ni mboga majani,hiyo yote kuwapunguzia gharama..

Halafu siku mojamoja nikiwa matembezini nanunua kilo 2 za nyama,nampa bodaboda awapelekee nyumbani..
 
Maisha yamebadilika sana siku hizi. Zamani mgeni ulikuwa unaonekana baraka kwa wenyeji. Utaona furaha ya kweli kwenye uso wa mwenyeji wako pamoja na kwamba wakati huo nyumba ni ndogo na za kienyeji na pia familia zilikuwa kubwa unakuta watoto zaidi ya 7.

Maisha yanazidi kuwa ya kibinafsi zaidi na utayari wa watu kujitoa sadaka unazidi kupungua.

Zamani tulikuwa tukisikia kwamba huko Ulaya ukienda kwa ndugu yako bila kumtaarifu siku kadhaa kabla ni tatizo anaweza asikupokee. Siku hizi jambo hilo lipo kwetu tayari. Sitaki kusema hata mambo ya ushoga ni suala la muda tu watu wataona kawaida tu, maisha bhana…
Nikiwa na safari zangu kwenda eneo fulani, sipendi kufikia na kulala kwa ndugu ama rafiki. Napenda privacy sana.

Unafikia kwa ndugu inawalazimu wao mambo yafuatayo;

1. Kula vyakula ambavyo siyo kawaida yao, ilimradi tu wakuridhishe wewe. Hata kukopa watakopa. Kuna wakati unakula hadi watoto wao wanajipitisha pitisha maana hawajazoea.

2. Wao kulala kwa kujibana ili wakuachie wewe chumba kizuri, kitanda kizuri na mashuka mapya.

3. Ratiba zao za kutoka na kurudi yumbani zinabadilika ili kuendana na ratiba zako wewe.

Kama una ndugu, nenda kawasalimie then kalale mtaani uwape uhuru wa maisha yao. Usipende kubana watu kwa ubahiri wako.

Mtu unatoka Dodoma to DSM, yaani unaanza kusumbua watu na mamizigo yako hadi kwao. Aibu mno! Wakati kuna room hadi za Tsh. 10,000 unalala fresh tu.

Privacy ni nzuri sana. Unaongea na simu zako vizuri. Ukiwa ugenini unaogopa hadi kuongea na simu usiku, mbaya zaidi unakuta umelala na mtoto wa mwenyeji wako!

Mambo ya kizamani kabisa kufikia kwa ndugu na hekaheka zako.

Umenena vyema sana Mkongwe
Gonga Meza Maisha yaendelee.
Hapo kwenye Vyakula inaleta shida Maana wao watatumia nguvu zao kibao kukufanya wewe uridhike huku wewe uko flexible hata kula chochote kile .
Pia ukute wao pia Wana Maisha ya kawaida tu inawacosts sana .
Maradhi pia ni Shida sana kukuandalia

Hao ni ndugu masikini mzee, kuna other side huku. Unafika kwa Ndugu baada ya ile siku ya salaam mnaonana, hadi unaondoka hana habari na wewe. Unaweza kaa wiki hamuonani.

Tatizo lako ni moja,
Umechukulia hali ya ndugu zako ilivyo ndo hali ya ndugu zetu wengine ilivyo pia of which its very wrong!

Fikiria mara mbili kabla ya kupost!

That is even worse! If your presence doesn't make any difference; stay away! Utakuwa mjinga sana kwenda mahali kama hapo.

Ndio maana mimi nikienda ugenini huwa nawaambia nina matatizo ya miguu(uroto)...
Kwaiyo siruhusi kula nyama yoyote me ni mboga majani,hiyo yote kuwapunguzia gharama..

Kuna hizi mita za TANESCO wanazofungia wateja sasa hivi, kila siku usiku lazima zikate umeme lakini kwa wale wenye mita za zamani umeme upo.

Tatizo nini? Au ndio mita za michongo?

Kama uko eneo lenye low voltage kazi unayo, kuna voltage ikifika bas mita hukata umeme ikiamini ni kidogo kuliko kiasi kitakiwacho kuja kqa mteja
 
Ndio maana mimi nikienda ugenini huwa nawaambia nina matatizo ya miguu(uroto)...
Kwaiyo siruhusi kula nyama yoyote me ni mboga majani,hiyo yote kuwapunguzia gharama..
Leo Bayern inawanyuka 4-0
 
Umenena vyema sana Mkongwe
Gonga Meza Maisha yaendelee.
Hapo kwenye Vyakula inaleta shida Maana wao watatumia nguvu zao kibao kukufanya wewe uridhike huku wewe uko flexible hata kula chochote kile .
Pia ukute wao pia Wana Maisha ya kawaida tu inawacosts sana .
Maradhi pia ni Shida sana kukuandalia
Maradhi yanaandaliwaje mkuu?
Au ulimaanisha malazi?
TANZANIA KUNA SHIDA KUBWA YA LUGHA;
 
Unafikia kwa ndugu yako mlokole, saa moja usiku unawaaga wenyeji, unaenda kupiga gambe, unarudi saa tisa usiku, unatukana ile mbaya, halafu umerudi na bar maid, kudadadeki, watajui kuwa hawajui
🤣🤣🤣🤣Kuna baba yangu mdogo mmoja wa heshima tu alifikia home,jioni akaenda kunyoosha miguu karudi home kibatiii Ila ndio anatia kukaza,bi mkubwa kamuandalia chakula kizurii kwenye vile vyombo wamama wanasemaga ni vya wageni,basi yupo anahangaika hangaika kula akanyanyua bakuli sijui afanyaje likafyatuka chini na yeye akataharuki kuamka sahani kule basi vyombo vya wageni vikafariki🤣🤣bi mkubwa alimaind Ila akajikaza
 
Wachache sana wanaofanya hiyo huku wakiwa na pesa

Wengi Ni wale ambao hata nauli tu kachangia na ndugu ili akafanye interview,matibabu, kutafuta kazi na n.k

Tatizo kipato tu mpendwa

We ulisha sikia kigogo yeyote yupo kwa ndugu yake one week.

Vumilianeni tu watanzania.
 
Ndio maana mimi nikienda ugenini huwa nawaambia nina matatizo ya miguu(uroto)...
Kwaiyo siruhusi kula nyama yoyote me ni mboga majani,hiyo yote kuwapunguzia gharama..
Nzuri hii...
 
Back
Top Bottom