Umewahi kufiwa na mke au mume ukiwa unamuuguza? Inauma sana

Brother pole mno,pole sana.

Ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na pengine kiumbe yeyote.

Hakuna namna zaidi ya kukubali na lililotokea na haswa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake na ile huduma alioitoaka katika jamii wakati wa uhai wake.

Hakuna namna rahisi ya kuelezea maumivu yake ila faraja inakuja pale unapozingatia kumshukuru Mungu.

Poleni mno, ajaliwe nuru ya milele na pumziko la amani.
 
Wanabodi, umofia kwenu.

Kufiwa usikie tu, mtu uliyemzoea kila wakati upo nae, anafia mikononi mwako na hutawahi muona tena...ulikuwa unalala nae kitanda kimoja miaka yote!

Anafukiwa ukiona live kabisa.

Acha tu wakuu.

Walamsiki.

Nilimaanisha mke au mume kwenye heading yangu.
Pole sana mkuu...🥺🥺🥺🥺
Pole mno..
 
Ni sawa limeshatokea..
Vipi ndani ya mwaka mmoja ukipata mwenza mwingine huku ukiwa na watoto wako wakubwa na ukiwa tayari kufunga ndoa na mwenza wako mpya unafikiri watoto wako watalichukuliaje hilo tukio.?
 
Wanabodi, umofia kwenu.

Kufiwa usikie tu, mtu uliyemzoea kila wakati upo nae, anafia mikononi mwako na hutawahi muona tena ulikuwa unalala nae kitanda kimoja miaka yote!

Anafukiwa ukiona live kabisa.

Acha tu wakuu.

Alamsiki.
Pole! Uwe na ujasiri kuukabili uhalisia.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom