Mchezo unaotumika hapa ni
1.Kuwanunua mawakala wa upinzani wauze kura zao kwa ccm
2.Kutumia mamluki kwenye vituo vya uchaguzi wakafanye fujo ili askari waje na mabomu na kutawanya wapigakura,muda wanakuja wanakuja na mabox amabayo tayari yanakura zilizopigwa,wanaweka yale haraka na kuchomoka...
Strictly don't offer simple responses to complex questions and vice versa.Rough techniques used by the rulling party to win elections will end soon.Even in Ivory coast,Malawi,Kenya,Gambia was the same scenario but a time came when opposition parties took over
Ukifikia hatua mpaka kumuua mwenziyo sababu ya dini,ukaoimwe kichwani.Kama unaamini huyo unayemwabudu ni mwema na mpenda mema,utafanyaje mauaji kwa niaba yake? Mungu hatetewi,anajitetea
UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI
SEHEMU YA KWANZA
UTANGULIZI
Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya katika zoezi zima la ufugaji wa kuku wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.