Wanatapatapa wanatafuta kuti la kujishikia ukame nao imekuwa issue ya kisiasa wanatamani waongee na mungu ukame uongezeke. Kama wao wanaona ukame wanadhani viongozi hawaoni? Au mpk watangaze kwenye tv ndio mjue kuna hatua zinachukuliwa?mvua zinanyesha ila ni chache!ila najiuliza ikiamua kunyesha na watu wakavuna,hawa wasio na jema,sura zao wataziweka wapi?na ni ajenda gani nyingine watakaoipata?maana kila siku imekuwa:ukame!ukame!ukame!njaa!njaa!njaa!
Hali halisi mvua ni chache na imechelewa kunyesha lkn maeneo mengi yaliyochelewa kupata mvua yameanza kupata wiki iliyopita japo chache. Acheni exaggeration.