Recent content by Hiram Abiff

  1. Hiram Abiff

    Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

    1 mpaka 3 sawa kuanzia mpaka 6 hamna album hapo ni mkusanyiko wa nyimbo tu album gani hazina theme
  2. Hiram Abiff

    Ukweli Usemwe: Ubovu wa Album ya Rayvanny umechangiwa na kutengwa na kupuuzwa na Mameneja wake

    Siku hizi bongo hamna albums kuna mrundikano wa nyimbo album gani hazina theme hata ya mmakonde ni wale wale
  3. Hiram Abiff

    Ukweli usemwe: Msanii Harmonize bado anashikilia rekodi ya Album bora lakini Darasa atatu-suprise mwaka huu kupitia album yake(Slave becomes King)

    Album lazma iwe na theme sasa ukifanya cover na kucompile tu nyimbo zako mbalimbali haiwezi kuwa album labda angeita EP
  4. Hiram Abiff

    Shambulio la shule Nigeria: Mamia ya wavulana waliotekwa 'waachiwa huru'

    Ukiona hivyo ujue Boko Haram ni deal kuna watu ndani ya Serikali na Mataifa ya nje wanafaidika nayo.
  5. Hiram Abiff

    Mpenzi wangu amebadilika ghafla

    Aachane nae mara ngapi? Kijana alishapigwa chini toka siku dem kaenda kwake na kujua anavyoishi
  6. Hiram Abiff

    Nimweleze mama kuhusu huyu best friend wake?

    Mwache mzee afaidi binti, mababu zetu walikuwa na wake mpaka nane na maisha yalienda we fuatilia maisha yako
  7. Hiram Abiff

    Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

    Baada ya miaka mitano kupita jina la Zuchu litatumika kuashiria msanii asiye na uwezo lakini anawika kama ilivyokuwa kwa mwanamuziki Juma ‘Kilaza’
  8. Hiram Abiff

    Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

    Weusi ni kundi la muda mrefu, kikosi wamejiunga juzi baada ya kupitiwa na diss lines za Weusi kwenye wimbo hvyo kikosi hawana mwendo, wako wengi kama panya road kibiashara kwao ni vigumu kuendelea kama kikundi.
  9. Hiram Abiff

    Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

    Au engine ilitolewa kabla gari haijapata ajali na kuzama
  10. Hiram Abiff

    Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Duh kwel dini ulevi huyuhuyu gwajima!!?
Back
Top Bottom