Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Wasalaam!

Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!

Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!

Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!

Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!

Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!

View attachment 1524100
Kwa bei hii na msambwanda unapata?
 
Hakuna msanii wa wcb anaemiliki account ya YouTube mkuu ,

Nenda YouTube uone account ya Rich Mavoko iko wapi Sasa hivi baada ya kujitoa WCB. Baada ya rich Mavoko kujitoa WCB account Yake pia ilibaki WCB na kila kilichomo. Kwasasa Rich Mavoko ana account mpya inaitwa "Billionaire Kid"... Ndio kaanza upya nenda ukacheki kazi zake.

Iko hivi account zote za YouTube Kama uko chini ya WCB Ni Mali ya wcb mpaka vyote vilivyomo. Kinachopatikana kwenye YouTube ni Mali ya WCB, uliza uambiwe mkuu. Ndio maana harmonize alivyojitoa aliambiwa atoe milion 500 Kama anataka kuondoka na YouTube account + contents zote.
We Ni mbuzi kweli, sa msanii gani yupo chini ya label alafu awe anamiliki hizo account. Alafu unajifanya unawajua kumbe kiazi tu
 
Wabongo bana mtu akiwa kinyume na mtazamo wako mnasema ana roho mbaya.

Ndio maana CCM itawatawala miaka milion kwa akili Kama yako. Hata yesu au mtume Mohammed hawakuwahi kukubaliwa na watu wote sembuse Huyo takataka zuchu.

Sasa Huyo zuchu ana maisha gani mpaka utokwe na povu. Nyie ndio mko mikoani mnadanganywa na hizo drama za kwenye mitandao eti ana maisha mazuri Hadi unajitoa ufahamu.

Sisi tunaowafahamu hao unaowahusudu tukiwawekea maisha ya Rayvany hutakaa uamini. Au tukikuwekea maisha ya lavalava hutakaa uamini. Hawana hayo maisha unayofikiria Hadi utokwe povu.

Dada Yake queen Darleen tunaishi nae hapa sinza Yuko kawaida tu tofauti na unavyomuona huko Instagram.
We jamaa muongo sana,

unajifanya unayajua maisha ya WCB kumbe hamna ki2 chochote.Nimeshangaa kweli unaongelea swala la label kumiliki YouTube account ya msanii as if Ni uonevu, utadhani Ni WCB pekee ndio wanafanya hivo.
Kama unamjua killy huyu aliehamia kwa harmonize alikuwa anamenejiwa na Nisher kabla hajaenda Kings, Kuna nyimbo yake inaitwa "Rudi" nenda YouTube kaangalie ipo kwenye account ya Nani? Tena angalau siku hizi wanaandika na majina Yao zamani walikuwa wanaandika jina la label.
Mfano mwingine Kama unamfahamu Saida Karoli yule muhaya anaeimba nyimbo za kikabila alikuwa anamenejiwa na Ruge mutahaba na meneja mwingne nimemsahau jina Kama unakumbuka kipindi diamond anatoa Ile nyimbo ya Salome Saida Karoli hakupata hata Senti moja, kazi alizofanya zilikuwa chini ya ruge na huyo meneja mwingne.
Nadhani Michael Jackson unamfahamu vzr kabisa, kazi zake zote alizowahi kufanya zipo chini ya label yake sa nakushangaa Sana unavyo lament label kumiliki YouTube kazi za msanii wasanii wake.

Ki2 Cha pili ulichotudanganya eti wasanii wa WCB wanalipiwa kila ki2 kuanzia Kodi ya nyumba,magari wanayonunua Cha ajabu Hadi hela ya matumizi daah, yaani hata shopping wanalipiwa? Na umekazia kwamba wotee wamepanga na wanalipiwa Kodi za nyumba baadae watakatwa, hapo hapo ukasema harmonize alikuwa anamiliki nyumba zake sa alizinunua kwa hela gani Kama sio uongo?
 
Jidanganye tu,

Rayvany Hana Nyumba Licha ya kubeba mpaka tuzo ya MTV base. Njoo tabata tukupeleke alipopanga.

Mboso Hana Nyumba kapanga.

Lavalava ndio kabisa.

Msanii aliekuwa na mafanikio wcb ukimtoa diamond ni Harmonize tu maana ndio alitusua kimataifa. Nyumba zake za madale hata ukitaka leo unaepelekwa kuziona.

Huyo zuchu haiafikia hata robo ya mafanikio kimuziki alipofikia Rayvany lakini bado anapanga na kupewa Prado la kutembelea.

Hawa wasanii uliwajua huwezi kuthubutu kuongea unayoongea. Usidanganywe na Instagram.

Hapo bado sijamtaja moze iyobo tuko nae kitaa tunagonga nae mikeka.
Endelea kuwadanganya tu
 
Hakuna msanii wa wcb anaemiliki account ya YouTube mkuu ,

Nenda YouTube uone account ya Rich Mavoko iko wapi Sasa hivi baada ya kujitoa WCB. Baada ya rich Mavoko kujitoa WCB account Yake pia ilibaki WCB na kila kilichomo. Kwasasa Rich Mavoko ana account mpya inaitwa "Billionaire Kid"... Ndio kaanza upya nenda ukacheki kazi zake.

Iko hivi account zote za YouTube Kama uko chini ya WCB Ni Mali ya wcb mpaka vyote vilivyomo. Kinachopatikana kwenye YouTube ni Mali ya WCB, uliza uambiwe mkuu. Ndio maana harmonize alivyojitoa aliambiwa atoe milion 500 Kama anataka kuondoka na YouTube account + contents zote.
Yaani ww, tangu ujue kwamba YouTube account za wasanii wa WCB zinamilikiwa na label imekuwa shida Sasa, ndio ilivo hivo sio WCB label zote duniani.tena harmonize alikuwa anajiita amonaizi ndio wakamrekebishia jina
 
Kijana huna unalojua Kodi za Nyumba za wasanii wa wcb zinalipwa na WCB. Harmonize tuko nae tabata analipiwa na WCB.

Shopping za Mavazi unalipiwa na WCB kwa mwezi. Hakuna msanii wa wcb anajilipia kodi.

Lavalava mwaka mzima unaisha hana hata show mbili. Queen Darleen mwaka unaisha hana hata show moja hizo Kodi anatoa wapi.

Kila gari unaloona ANAPEWA ni mkopo atakatwa kwenye mapato yake. Kuweni mnauliza.

Ingekuwa ni hivyo rahisi unadhani rich Mavoko angejitoa!!!

Uliza watu wanaomjua rich Mavoko vizuti tabata ilifika kipindi anakosa mpaka nauli ya kwenda WCB mbezi kwenye studio sessions.

Sitaki niseme hayo ya Mboso utakuja kusema naongea uongo
Unaona ulivyo muongo yaani mpk shopping unalipiwa kwa mwezi kwahy wenyewe hawalipwi Sasa Ila wanahifadhiwa Kama ng'ombe tu
 
Wasalaam!

Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!

Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!

Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!

Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!

Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!

View attachment 1524100
Ccm in a hela kwahiyo wote wanalipwa mihela kama zooci ni20m Mondi ngapi, kiba ngapi harmony yane haya jamani tw3ndeni tukaimbe
 
Sallam Sharaf,amefanya tathmini ameona hiyo ndio thamani ya brand yake
kazi ipo kwa wateja,humu ni kijiweni tu tuna mabando tu
 
Wasalaam!

Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!

Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!

Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!

Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!

Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!

View attachment 1524100

Baada ya miaka mitano kupita jina la Zuchu litatumika kuashiria msanii asiye na uwezo lakini anawika kama ilivyokuwa kwa mwanamuziki Juma ‘Kilaza’
 
Wasalaam!

Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!

Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!

Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!

Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!

Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!

View attachment 1524100
Hajafikisha hata shoo kumi huyu mpaka sasa
 
Back
Top Bottom