Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Naomba niwe tofauti na wachangiaji walio wengi.
1. Anakupenda sana.
2. Ana wivu sana kama mimi.
3. Kuna mambo madogo madogo ameyakuta hapo kwako yakamtia wivu akahisi uko na mtu mwingingine japo wewe unaweza kuyaona ya kawaida.
4. Hukuonyesha kumbembeleza, kumpetipeti badala yake ukanunua minyama, mikuku n.k
5. Swali: Alivyokuja ulimpa muda wako wa kutosha au ulikuwa busy na movies, kuangalia mpira n.k?
NB: Wanawake wakikosa kubembelezwa, show ikiwa kama ya Yanga msimu uliopita, usipompa attention akija kwako wanakuwaga na HASIRA, BITTER.
Pia ULISIKIA WAPI MAPENZI YASIYO NA MISUKOSUKO KIDOGO?