Recent content by hillarymajune

  1. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania VIPI ELIMU YA MBUNGE JOSEPH NGONYANI (CCM)

    We jidanganye mjasiri haachi asiri akiacha asiri hana akili
  2. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania MWAKA WA WASAFI CLASSIC

    Rudi utotoni uspotembea utabebwa mgongoni tooo much wasafi mnalo mwaka huu
  3. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania Msanii Darasa akiwa na Hanscana wapata ajali ya gari huko Kahama

    Hawakuwezi darasa ngoma yake nimeitupia inst watu kibao weme like
  4. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma diploma in primary education hawatambuliwi?

    Kwani huo mtaala wa kusomea diploma in primary vyuo vya ualimu vilijitungia mbona itakuwa kali hiyo
  5. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    Hiyo nzuri sana kama walikula dili zitawatokea puani
  6. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga ashinda kesi dhidi ya UDOM, kurudi chuo Rasmi

    Hongera sana we nimoja ya mabadiliko katika kutafuta haki yako mungu awe pamoja na we
  7. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Tatizo sio bakresa watendaji waliowekwa na jakaya ni vilaza
  8. hillarymajune

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Tusinunue bidhaaa zake
Back
Top Bottom