Philipo Mwakibinga ashinda kesi dhidi ya UDOM, kurudi chuo Rasmi

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
NIMESHINDA KESI YANGU MAHAKAMA KUU KANDA YA DODOMA DHIDI YA UDOM LEO TARE 15/12/2016.
(KESI IMEKAA MWAKA MMOJA NA MIEZI KUMI NAMOJA).

Mwakibinga,Philipo.J . 0758910403.

Kwanza namshukuru MUNGU kwa kunipigania na kutetea haki yangu.

Pili na Mshukuru sana sana Mwanasheria wangu wakili msomi kaka yangu ELIAS MACHIBIA kwa kusimama nami na kusimamia vyema kesi yangu na hatimaye kushinda na haki kupatikana leo.

Tatu nashukuru sana MAHAKAMA kuu Kanda ya Dodoma kwa maana ya Majaji kutenda haki na kufanya kazi kwa hofu ya Mungu na dhamira ya kweli hatimaye haki yangu kupatikana leo.

Tarehe 14/01/2015. Nilifukuzwa chuo kikuu cha DODOMA kwa mara ya pili kwakuhusishwa na migomo na maandamano ya wanafunzi na wafanyakazi yaliyokuwa na mlengo wa kudai haki zao. Nakumbuka nilikamatwa na kupigwa na polisi kisha kuwekwa sero kwa siku 3 kisha kufukuzwa kabisa chuo huku nikiwa najiandaa na mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza wa mwaka wa 3.( Niliumia Sana)

Nilifungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma chini ya mwanasheria msomi wakili Elius Machibia. Kesi ilisikilizwa kwa mwaka mzima pasipo mafanikio ya kumalizika haraka chini ya Ms Jaji Makulu aliyekuwa kanda ya Dodoma wakati huo.

Mwaka 2016 kesi iliendelea tena ikiwa ni mwaka wa pili tangu ifunguliwe hatimaye leo tare 15/12/2016 nimeshinda kesi ikiwa inasikilizwa na MH Jaji Mhamed Hawadhi wa mahakama kuu kanda ya DODOMA.

Maamuzi yaliyoyolewa na mahakama na kusomwa na Naibu msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya DODOMA Mh John Chaba nikuwa mahakama imefuta
AMRI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNIFUKUZA CHUO NA HATIMAYE NIRUDISHWE KUMALIZIA MASOMO YANGU.

Elimu yangu ya chuo kikuu imekua na mapito makubwa tangu nilipoanza Mwaka 2009.
Nilinyimwa mkopo na serikali lakini sikusita kuwatetea waliocheleweshewa mkopo kwani maumivu ya kutokuwa na mkopo kwa mwanafunzi wa chuo kikuu niliyaishi nayajua.
kama kijana msomi ndani ya chuo kikuu sikusita kutetea wafanyakazi wa chuo kikuu cha dodoma pale walipocheleweshewa au kuhujumiwa haki zao. Niliyafanya hayo tangu nikiwa Naibu waziri mikopo,Rais na Waziri Mkuu UDOM.
ILikuhitimisha mateso hayo viongozi wa ngazi za juu CHUONI walinifukuza kwa maona yao wakidai mimi kuwa Tatizo katika chuo kikuu cha Dodoma.
Nilipata utetezi kutoka kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na wakidini lakini walifumba macho na kuziba masikio lakini sikuzote namtegemea Mungu kuwa ngao na mlinzi wa HAKI yangu ya kupata Elimu ndani ya UDOM kwani ndipo aliniandikia kusoma hata kabla watawala hawana Ndoto ya kuanzisha chuo hicho.

Wapo ndugu na jamaa ambao wamekua wakinidhihaki na kutoa kejeli juu ya mapito haya lakini naamini hawajui kama hawajui.

Nawashukuru sana wahanga wa matatizo vyuoni niliokuwa nawapigania na wengine wote mnaoniombe kheri hata nafikia hatua ya kushinda kesi hii ya kihistoria Mungu awabariki naamini Mungu kanilipa pale nilipotoa. Nawatakia kheri amani na uvumilivu wahusika wote walio hujumu elimu yangu kwa mika 6 sasa naamini si kosa lao wawe na amani pamoja na kupanda chuki,visa,maumivu na visasi ndani ya moyo wangu lakini naamini wametumika kama Petro,Yuda na Wagaratia ilikutimiza yaliyo andikwa na kutabiliwa.

Mungu kanifanya kuwa dhahabu bora hivyo moto na joto kali ni haki na sehemu yangu ilikua Bora zaidi.

NAAMINI NISAFARI YA MWISHO YA KWENDA KUHITIMISHA MASOMO YANGU.

Maisha yangu yalipangwa tangu nikiwa tumboni kwa mama yangu mengine ni mapito tu na hakuna wakutengua torati. IPO SIKU NITAKUA...

SO,HELP ME GOD.
PHILIPO JOHN MWAKIBINGA
15/12/2016
DODOMA.

Source : FB page yake

_____ _________

My take

Huyu jamaa ni moja ya Viongozi jasiri ambayo Tanzania inayo Kwa sasa

Najua BAVICHA mtaanza poromosha matusi kwasababu alihamia ACT baada ya kumnyima Kugombea Ubunge..

Msitukane tafadhali!
 
Pole
 
887933616a2604b98280e7f0c84b9314.jpg
 
Usishangilie kwani hujavuka mto bado. Unaweza katia rufaa au utakaporejea uka "DISCO".

Mshukuru Mungu ila haya majigambo yako kwenye mtandao yanaweza badilika kuwa shubiri, ni ushauri tuu.
 
Hilo nalo neno... Awe makini
 
Hongera yake.
Japo kuhama kwake CHADEMA inaweza ikawa siri ya ushindi huo.
Anafikiri angeshinda kama angeendekea kuwa active kwenye upinzani,hasa kwa awamu hii? Sidhani.
Hahaha.. ACT kwani wemamsaidia kushinda?
 
Ila na Wasiwasi sana Kama Atasoma Kwa Amani Bora aamishwe..

Chuo chenyewe kinaongozwa na Mzee wa [HASHTAG]#ulofa[/HASHTAG]
 
Hilo nalo neno... Awe makini
Ni mapambano. Unanifelisha tunaita external examiner. Analinganisha majibu ya mtu aliyepata marks nyingi , aliyepata kidogo na aliyepata za kati. Wanalinganisha na majibu yangu , wanatoa uamuzi. Siyo rahisi kumfelisha mtu, labda awe mvivu wa kupambana
 
Ni MTU Wa kukurupuka tu huyo,sitosahau madhila tuliyoyapata kutokana na kukurupuka kwake!
Bora ya mgomo ulioendeshwa na Singo ulileta faida kwa wanafunzi!!
Ila ana misimamo
 
Ni mapambano. Unanifelisha tunaita external examiner. Analinganisha majibu ya mtu aliyepata marks nyingi , aliyepata kidogo na aliyepata za kati. Wanalinganisha na majibu yangu , wanatoa uamuzi. Siyo rahisi kumfelisha mtu, labda awe mvivu wa kupambana
Noted!
 
Back
Top Bottom