VIPI ELIMU YA MBUNGE JOSEPH NGONYANI (CCM)

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Wale watalaamu wa Lumumba naomba mnijuze Elimu ya Mbunge Joseph Ngonyani" Maji Marefu"(CCM).Nimekuwa navutiwa Na namna anavyochangia Bungeni
 
Huyo ni Profesa wa chuo kikuu cha ulozi pale Tanga sehemu za Korogwe. Nadhani ndiye aliyemrithi yule mlozi mzee Mandondo, Una swali jingine? Je hiyo CV haitoshi?
 
Jamaa ni Darasa la Saba Halafu mbunge wa jimbo la vijijini miaka ya nyuma alikuwa Mganga wa kienyeji sasa kapata ulaji ni Mp basi mikoba yote katupa
 
Back
Top Bottom