Wanaosoma diploma in primary education hawatambuliwi?

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,286
2,000
kuna 'tetesi kuwa' waliopo vyuo vya ualimu(wanaosoma diploma) hawatambuliwi na serikali na wanaweza kufukuzwa muda wowote,kuna ukweli?
 

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
5,033
2,000
Huwa zinaanzaga kama tetesi vile. Ni kama approach of the current regime
Angalia mambo mengi yalikuwa tetesi yakakanushwa lastly hutokea bila chenga
Nafananisha sana na ujio wa Yesu Kristo kuchukua kanisa lake ni kama tetesi hivi anakuja anakuja anakuja anakuja, ila kiukweli Yesu yupo malangoni kuja kuchukua watakatifu wake waliooshwa kwa damu yake akawapeleke kwenye ufalme wa Baba yake. Tujiandae jaman maana zinakuwaga tetesi wewe siku mgodi ukitema tutapoteana sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom