Recent content by Hillary Mkony

  1. H

    Baba kutembea na mwanae wa kike

    Ifahamike pia kuwa sio kila jambo linatokana na vitendo vya ushirikina, ila kwa sasa kuna momonyoko mkubwa wa maadili ya Kijamii. Nchi yetu inapitia kwenye kipindi kigumu, kwani kuanzia Ikulu hadi kwa mwananci wa kawaida kule Kishumundu wamepotoka kimaadili. Tuisaidie nchi yetu kwa kururudisha...
  2. H

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Pamoja na kuwa kuna jibu kuwa, imependekezwa amalize naye muda wakati JK atakapostaafu mwakani, lakini ifahamike kuwa wapambe wa marais nao huendelea kuwalinda viongozi hao mpaka watakapokufa. Hivyo huyo Brigedia Jenerali naye atakuwa na JK mpaka atakapopiga saluti ya mwisho kaburini ndipo naye...
  3. H

    Ndege iliyopotea kama ingekuwa ni ya Tanzania?

    Kungekuwa na malalamiko makubwa ya viongozi wa kisiasa kuwa viongozi wa serikali wameshindwa kazi wajiuzulu!!
  4. H

    Maisha yamenishinda nahama mjini

    Wapendwa! Habari za jioni, poleni kwa pilika na majukumu ya mchana kutwa. Pamoja na hayo naomba niungane nanyi katika kutoa ushauri kwa huyu Mpendwa ambaye ameweka mada yake mbele yetu. Hata hivyo niombe tuwe makini katika kumshauri, kwani nachelea kama tunamshauri kwa utani, nadhani itakuwa...
  5. H

    Introducing teamrafiki

    Ahsante sana mkuu wa Kuanzisha Team Rafiki, namio naomba kujiunga rasmi ili kwa pamoja tuweze kushirikishana katika mambo mbalimbali ya kimaisha na kimaendeleo. Naomba unipe taratibu za kufuata. All the best!!
  6. H

    Introducing teamrafiki

    Ahsante sana mkuu wa Kuanzisha Team Rafiki, namio naomba kujiunga rasmi ili kwa pamoja tuweze kushirikishana katika mambo mbalimbali ya kimaisha na kimaendeleo. Naomba unipe taratibu za kufuata. All the best!!
  7. H

    Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    Ndugu zangu wadau wa JF! Ni kweli tumekuwa tukilalamika juu ya mambo mbalimbali yanayotokea hapa nchini, miongoni mwa matukio hayo ni pamoja na hili lililojitokeza Bungeni dk chache zilizopita, hii ni kutokana na namna wale ambao tunadhani kuwa ndio wanaoweza kutuwakilisha wanavyofanya mambo ya...
  8. H

    Vituko vishaanza bunge maalum la katiba

    Ndugu yangu mpendwa, ni vema ukafahamu kuwa hili si Bunge bali ni Bonge la aibu! Ukweli ni kuwa katika watu waliokwenda hapo Dodoma, asilimia kubwa ni wale waliokwenda kutimiza wajibu kuwa nao wapo Dodoma na ndio maana unaona hali kama hii. Sasa hapo naomba ujiandae kuona maswali ya kiupuuuzi...
  9. H

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Wapendwa! Habari ya usiku, poleni kwa wajibu na mapumziko ya mchana wa leo. Mimi ninasmhukuru Mungu kupata neema ya kuona jioni hii kwa baraka za Mungu. Tunashukuru kwa kuwa Mhe. Ally Bananga wa CHADEMA ameshinda na kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini katika Jiji la Arusha kwa kura 2564, dhidi ya...
  10. H

    TANZIA: Mzee Patrick Qorro (aliyewahi kuwa Mbunge wa Karatu) afariki dunia

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina lake na lihimidiwe, apumzike kwa amani!!
  11. H

    Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

    Kwannza pole sana kwa hili ambalo ni zito na ambalo kulibeba inahitaji kuwa na kifua! Labda kabla ya kukupa mawazo na ushauri wangu juu ya hili ni vema ukanisaidia kujibu maswali yafuatayo:- a) Ni kwa mazingira gani yanayosemekana ulimbaka huyui Mama Mkwe wako? b) Mna ukaribu gani na huyo Mama...
  12. H

    Leo CCM watashinda nafasi ya udiwani Arusha inadaiwa wanakubalika na dalili zilionekana tangu kwenye

    Makamanda na wapendwa Watanzania wote! Habari ya asubuhi, ni matumaini yangu kuwa nyote mmemka salama na neema ya Mungu ipo pamoja nanyi. Mungu awabariki sana. Ni siku njema ambayo Watanzania katika Kata 27 za Miji mbalimbali wanapojihimu kwenda kufanya maamuzi magumu na ya msingi ilikupata...
  13. H

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Sijaridhika kwa kuwa kuna watu ambao kimsingi hawawezi kuwa na msaada kwa nchi zaidi ya kuhakikisha wanatimiza matwaka ya Vongozi waliowateua. Mfano ni wa wazee ambao kimsingi wamekaa sana serikani na katika vyama vya Siasa. Ila leo wapo wakishiriki katika Katiba hii. Tanzania bado tuna safari...
  14. H

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Pamoja na kuwapongeza wateule hawa wa Rais, ni vema tukawapa pia na wajibu wa kwenda kufanya katika Bunge hilo Maalum la Katiba. Wajibu huo ni pamoja na kuhakikisha kuwa wanatimiza wajibu wao wa kuipigania na kuitetea Nchi yetu ya Tanzania. Kila mmoja ajue kuwa Tanzania ni yetu sote na wala...
  15. H

    Ndege wazuri sana hawa!

    Ahsante sana na ninaomba kushirikiana nanyi ili tuweze kuibadilisha jamii yetu kwa kuitumia fursa hii ya kuwepo hapa.
Back
Top Bottom