Recent content by hilbajojo2009

  1. H

    Lema kupanda kizimbani pamoja na viongozi wa CHADEMA wa Arusha mjini

    Ni kweli polisi wamezidi kumhujumu Lema na CDM. Lakini Lema na wafuasi wengine wa CDM fuateni sheria za nchi hii; mfano kutofanya mkutano usio halali. Inasemekana Lema alianza kuwahutubia wafuasi wake ofisini kwake baada ya kutembea kwa miguu(kuandamana), kama hii ni kweli basi ni kosa. Hata...
  2. H

    Mazungumzo na Dr. Slaa: Maswali na Majibu

    Wewe mwana-CCM unapingana na chama chako? Posho zisizo na maana wala tija ni sera ya CCM
  3. H

    Preta i miss you!

    naomba kufahamishwa ku-PM ni nini?
  4. H

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Apokee posho kwa mujibu wa sheria ipi? Sheria gani inalazimisha mbunge kupokea posho?
  5. H

    Kuhusu Arusha: Slaa ni tatizo, najuta kumpa kura - 2

    Achaneni na huyu Mpumbavu anayetumwa na Tambwe Hiza( mzee wa propaganda) na MAkamba mropokaji. Tujadili mambo ya maana kama Dowans na katiba mpya, huduma za jamii n.k
  6. H

    "kwa nini CUF tumeshirikiana na CCM"- Hamad Rashid

    Hamad Rashid + CUF + CCM wanakosea wanaposema serikali ya kitaifa kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya taifa linaloitwa Tanzania; Zanzibar si taifa. Vinginevyo muungano wa iliyokuwa Tanganyika(sasa Tanzania Bara) na Zanzibar utakuwa umevunjwa. CUF wameungana na CCM kuunda serikali ya pamoja kwa...
  7. H

    Tbc 1, wanachefua

    Ukweli na uhakika imebaki kuwa danganyatoto. TBC kazi yao ni kuipamba serikali hata kama haipambiki. Nafikiri bongo za wafanyakazi wa TBC hazifanyi kazi tena; hakuna professionalism kabisa. Upuuzi wao huu unathibitishwa pia na kutokusoma maoni ya watazamaji za wasikilizaji wanaoponda serikali...
  8. H

    Dr.Slaa apewa kazi nzito

    Hayo maandishi ya kijani yanafanana na fikra zako zisizo na nguvu ya hoja. Kijani ni rangi ya CCM na ndio wasiotaka mabadiliko ya katiba kwa kuwa katiba iliyopo inawabeba wao. Mabadiliko ya katiba yanawezekana hata ndani ya miaka miwili. Hata mkibisha pasipo na hoja, mabadiliko ya katiba...
  9. H

    Majina ya Waliopendekezwa Viti Maalum na hoja za Leticia Musore

    Dr. Mkumbo msipoangalia mtakiua chama kwa sababu ya vigezo mlivyotumia kwa lengo la kuwapendelea wasomi. Hakukuwa na haja ya kumnyima nafasi huyo mama eti kwa sababu ya kutokuwa na Digrii. Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania haikatazi mtu mwenye elimu ya kidato cha nne kuwa mbunge. Jambo...
  10. H

    GE2010 CHADEMA kuleta hoja ya kumuondoa Kikwete madarakani

    Hoja nzuri ila Makinda anaweza kuzuia isiwasilishwe mjengoni; Kwa kuwa analinda maslahi ya mafisadi wenye ushawishi ndani ya CCM. Hata hivyo nawaamini wabunge makini wa CHADEMA watamshinda kwa kanuni japo anajaribu kuzipindisha kwa mabavu. Hoja ikiwasilishwa bungeni hata kama haitaungwa na...
  11. H

    Masters scholarship

    Thanks Kinyau. Nitafanyia kazi ushauri wako. God bless you
  12. H

    Masters scholarship

    Asante alu. Hii website nimeijaribu kwa muda mrefu bila mafanikio
  13. H

    Masters scholarship

    Salaam wanajamii. Naomba msaada wakuu kuhusu scholarship ya shahada ya uzamili nje au ndani ya nchi. Nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu(Bachelor of Education) UDSM mwaka 2005. Natamani kusomea shahada ya uzamili katika elimu(Master of education au Master of educational management). Tatizo...
  14. H

    Dr.slaa : Uteuzi wa kiongozi wa kambi ya upinzani chadema

    Mchilo nakuunga mkono. Ni vizuri itifaki ikazingatiwa. Hata waingereza ambao tunafuata mfumo wa bunge lao kiongozi wa upinzani huwa ni kiongozi wa chama.
Back
Top Bottom