Recent content by HigherGround

  1. HigherGround

    Ongezeko la watu kunuka mdomo

    aina ya vyakula pia na vinywaji huchangia sana mdomo kunuka, pengine wengi harufu siyo ya mdomoni tu bali huanzia tumboni, hata akipiga mswaki harufu huondoka baada ya mda hurudi tena, wengine ni wangonjwa wa infections fulani kwenye kinywa na koo, ambazo bila kuzitibu harufu haiwezi kuisha...
  2. HigherGround

    Mlinga: Wakufunzi vyuoni wamegeuka madume ya mbegu, wanafunzi wa kike vyuoni wanapata shida mno

    Wanabakwa? msichana aliye fika elimu ya chuo yupo huru na maamuzi yake, ndiyo maana hawavai sare na wala hawakaguliwi wamelala wapi! kufaulu kwa kujipendekeza kwa walimu wanatafuta wenyewe kwa kupenda mteremko, akili ya kukomaa na masomo hasa kwa watoto wa kike wengi imepungua sana, wengi...
  3. HigherGround

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    mleta maada nadhani una tatizo tofauti na Mzumbe siyo elimu yako tu, kweli kuna walimu wanao compromise elimu katika kila chuo udsm, mzumbe nk (nasema hivi kwa sababu nimesoma hivi vyuo vyote) huko kwingine nadhani sijui, ila tatizo haliwezi kujumuishwa na kuharibu chuo kizima, take my words...
  4. HigherGround

    Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    Polisi na viongozi wetu waache maigizo katika hili, bora wange hangaika kuwatafuta wahalifu kimya kimya kuliko kukaa wnaadvertise matukio ambayo kimsingi ukiya chunguza ni fake
  5. HigherGround

    Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Huo ni upungufu wa vitamin fulani, jitahidi kula matunda na deep green vegetables, punguza kula nyama, baada ya mda tatizo litapotea
  6. HigherGround

    Mwakyembe atinga hadi maskani kwa nahodha wa Serengeti Boys na kushangazwa

    Haijalishi hasa nini kilimsukuma waziri kumtembelea huyu kijana, amefanya vizuri sana
  7. HigherGround

    Tukiolewa mifumo yetu ya mwili haibadiliki jamani...

    miss chagga , nimekupata sawa sawa mama
  8. HigherGround

    Amani imetoweka kwenye ndoa yangu kisa kukosa mtoto

    Pole dada angu, mimi pia na mke wangu nilipitia uzoefu huu, ila baada ya miaka mitano tukapata mtoto. niliyo jifunza kwenye matatizo ya uzazi ni kama ifuatavyo: 1. matatizo ya uzazi hayapo kwa mwana mke tu pengine, mtoto anapatikana na watu wawili, mwanaume akiwa na ka tatizo kadogo ukiongezea...
  9. HigherGround

    Mke wangu hajui mapishi na nikimkosoa anakuja juu

    kama hajui kupika wewe ndiye hujui kupika! she is your wife, yupo mikononi mwako badala ya kuja kulalamika huku tafuta namna ya kumfanya ajue kupika, kwa approach nzuri hakuna mwanamke au mwanamme mbishi duniani
  10. HigherGround

    Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

    There are no dumb learner, there are always dumb trainers! mwalimu kumdhalilisha mwanafunzi anasahau kuwa anajidhalilisha mwenyewe, kile alivyo mwanafunzi ni reflection ya kufeli kwa mafunzo ya mwalimu ambayo amekuwa akimpatia
  11. HigherGround

    Ushauri: Mke wangu hataki tukaishi kwa wazazi wangu ili tubane matumizi tujenge

    naye atawaacha wazazi wake na kuishi mahali kwa mji wao wa pekee. hili andiko ukilikiuka ni chanzo kikubwa cha migogoro
  12. HigherGround

    Ushuhuda: Baada ya miaka sita ya ndoa, hatimaye nimeitwa mama

    Stress pia zina mchango mkubwa sana kwa mwanamke kushindwa kushika ujauzito, ulipo fika kipindi ukaacha kuahangaika na stress zikaisha ndipo ulipo nasa!
  13. HigherGround

    Pata mkopo hadi milioni arobaini kwa kuweka dhamana ya kadi ya gari yako

    halafu hizo riba una zikokotoaje? tunaombe uje na mfano wa mkopo ulio tolewa na jumla ya mkopo mtu atakao lipa baada ya kipindi fulani. Kuna kitu kinaitwa "effective interest" yaani jumla ya malipo yote atakayo yalipa mkopaji kuhusiana na mkopo. kutaja riba ndogo ni jambo moja, namna ya...
  14. HigherGround

    Wapi napata huduma ya massage Dar es Salaam?

    Ulaya ipi unayoongelea? ulaya hii niijuayo mimi! mnawapa credit wazungu bure wakati ni wachafu na uchafu wao kwa sasa tena ni hadharani tu
Back
Top Bottom