Pata mkopo hadi milioni arobaini kwa kuweka dhamana ya kadi ya gari yako

kancher

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
463
461
I'm sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari.

MASHARTI KWA MFANYAKAZI
*hati ya mihahara miezi mitatu
*kopi ya kitambulisho
*mkataba wa ajira (nakala)
*picha moja ndogo
*taharifa ya kibenk miezi sita
*kadi ya gari na bima yake (bima kubwa)

KWA MFANYABIASHARA
*Leseni na hati ya biashara
*TIN NO
*Kopi ya kitambulisho
*taharifa ya kibenk miezi 6
*picha moja ndogo
*kadi ya gari na bima yake kubwa
*kitabu cha hundi.
 
Mwanzoni huwa mnaanza hivi mtu akianza process ya huo Mkopo inachukua miezi miwili Mkopo hajapata, na mlungula wa kutosha unatakiwa.
Na hiyo unayoita milioni harobaini(arobaini) ataishia kupewa robo yake kwa kadi sita za magari.
Sorry it's from real experience.
 
Cahangamoto zipo na mojawapo inawezakuwa ni wewe mwenyewe ktk kutimiza vgezo. Pia thamani ya mkopo inategemea na thamani ya gari yako
 
Koromije we ofisa soma range vizuri 7.5% from 1m to 99.
And then 10% from 10m honi ulizungusha
 
Inachukua muda Gani kupata mkopo ?
Kama Sina cheque account inakuaje?
 
Sjaelewa dhamana ni gari au mshahara?
Dhamana ni gari, lakini mkopo utarejesha kwa njia gani, ndo unatakiwa wwe ni mfanyabiashara au mfanyakazi ili tuangalie mzunguko wa kipato chako kuwa hautashindwa kurejesha mkopo wako.
 
Inachukua muda Gani kupata mkopo ?
Kama Sina cheque account inakuaje?
Ukikamilisha taratibuzote ni ndani ya masaa 24 unapewa mkopo, na mkopo ni kwa muda wa miezisita tu. Tunaangalia ata financial statment za tigo pesa na m pesa
 
Dhamana ni gari, lakini mkopo utarejesha kwa njia gani, ndo unatakiwa wwe ni mfanyabiashara au mfanyakazi ili tuangalie mzunguko wa kipato chako kuwa hautashindwa kurejesha mkopo wako.
Nikitaka million mbili kwa mwaka mmoja, ntaresha sh ngap? na malipo ya mwezi yakoje?
 
7.5% kuanzia milioni moja had milion 9.9 milioni kumi na kuendelea ni 8%

kuficha taarifa kamili sio vizuri.. hizo riba ni kwa mwezi au kwa mwaka...

tuambie riba kwa mwaka ni asilimia ngapi na kwa mwezi asilimia ngapi... weka vitu kisomii
 
Nikitaka million mbili kwa mwaka mmoja, ntaresha sh ngap? na malipo ya mwezi yakoje?
Mikopo yetu ni ya miezi sita tu. Riba ni 7.5% na lazma tuifanyie tathimini gari yako kama inastahili kiasi cha mkopo unachohitaji
 
halafu hizo riba una zikokotoaje? tunaombe uje na mfano wa mkopo ulio tolewa na jumla ya mkopo mtu atakao lipa baada ya kipindi fulani. Kuna kitu kinaitwa "effective interest" yaani jumla ya malipo yote atakayo yalipa mkopaji kuhusiana na mkopo. kutaja riba ndogo ni jambo moja, namna ya ukokotoaji wa hiyo riba ni kitu kingine. hebu tupe mfano halisi hapa tuone
 
Hiyo riba 7.5 to 8 % ni per month acha kuibia watu humu. Hiyo mikopo yenu ni ya usanii mwingi hasa kwenye riba. Kwa anayetaka akope at own risk msije kurudi humu na kuanza kulia
 
Back
Top Bottom