Recent content by hidzima

  1. hidzima

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Kunyamaza wakati unaonewa ni kutengeneza Bomu ambalo lijapo lipuka watalia wengi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. hidzima

    Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Mboga mboga siku zote kubadilika hadi zikauke Sent using Jamii Forums mobile app
  3. hidzima

    Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Kunawatu bado wanaviroba majumbani mwao licha ya serikali kuzuia lipeni madeni hamna aibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. hidzima

    Tarime: John Heche(Mb), akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha bangi na Uvamizi wa Mgodi, aachiwa kwa dhamana

    MAKINDA alisema bungeni bangi ya Njombe waiche haina makali waiache tu wasizuie je?,alikamatwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. hidzima

    Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    Hizi mamlaka ni jipu pamoja na TBS
  6. hidzima

    Mzee Mangula Acha Kujivunjia Heshima Uzeeni.Rudi Kalime

    Zidumu fikra za mwenyekiti au yes sir Hawa jamaa ni makasuku kwli
  7. hidzima

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nairobi ni mtaa siyo jiji msitulinganishe kbs
  8. hidzima

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nyee vanairobi mifi kabisa
  9. hidzima

    Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

    Sio povu tunawekana sawa
  10. hidzima

    Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

    Kaka uko sahihi Mungu akubariki nami nimepitia hivyo
  11. hidzima

    Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

    Ndoa in raasisi mhimu na nyeti sana naona unaifanyia mzaha au kukejeli baadhi ya tamaduni za watu.pia ndoa no muungano wa hiari kama uliona huna uwezo nalo ungepitezea yanini kuanika hapa?pili mm ni mkristo ila nimelelewa na jamii Islam nilifundishwa kuwa ukiona umeoa mwanamke na hajui kutunza...
  12. hidzima

    Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

    Hizi habari za kupikia kwnye ubongo ulojaa viloba sio nzuri lete chanzo hapa
Back
Top Bottom