Kwanini mtuhumiwa mkubwa wa Madawa (MOST WANTED) anakamatwa lakini watu wanamjali Wema zaidi humu?

In mexico hiyo siyo habari unamkamata drug lord wanaibuka wengine! Hivi nyiye vita ya drugs mnaijua au mnaongea tuu? Mmefanya research? My friend drugs wakikamatwa kingpins wanaibuka kingpins wengine na bei ya mzigo hupanda! You cant win war in drugs wameshindwa usa na china utaweza tz! Au mnaona mfano wa phillipines mnadhan mtaweza? Kuweni serious mpaka leo sijasikia one kg ya cocaine or heroine iliyokamatwa zaidi ya vikete kadhaa mbaya zaidi mnakamata mirungi na bhangi mnatangaza tumekamata drugs so and so! Yaani wa tz kwa kufuata upepo nawavulia kofia! Toka lini bhangi na mirungi ikawa class moja na heroin, cocaine etc

Huyo mfalme wa madawa ya kulevya drug lord Kiboko alikuwa katajwa saana wakati wa kipindi cha urais awamu ya nne lakini hakuna kiongozi serikalini aliyeshtuka lakini kipindi hiki cha Dr Magufuli nimeona mafanikio- kudos President Magufuli. Watoto wa viongozi walikuwa wanatajwa sana kwenye mitandao ya nchi za nje kama China na China ya Macau na HongKong check website www.v2catholic.com tangu 2005 na walionaswa China wazazi wakatumia balozi zetu kunusuru ku nyongwa, hand written letters za walionaswa huko ni self explanatory!!!!!
 
Alipotajwa na Mh Siaga inasemekana watu wote walishtuka. Kuna thread inamuelezea huyu mdau kwa jinsi alivyo hatari.Tanzanian Drug Lord, Ayubu Mfaume Kiboko, from inmate in a Hong Kong prison

Cha ajabu baada ya msako mkali, mtu huyu ambaye aliwahi kutajwa na wafungwa China, hakuna hata anaejali watu tunakomaa na Wema na mzazi wake, mara audio utadhani hakuna kikubwa kilichotokea katika vita hivi.

source The CITZEN:Police seize 'most wanted' suspected drug trafficker

Kwa kweli hapa rais inabidi aingilie ndani ujinga huu. Wema na Mamaye si watu wa maana hapa nchini na si lolote ila watu wanawapa ujiko usiyo na manufaa kwa taifa letu. Yaani tumekuwa wapumbavu namna hii mpaka Steve 'Mbilikimo' Nyerere anasimamisha bunge huku akijisifia? Bunge letu tukufu linasimamishwa na mtu asiye muhimu kwa taifa letu, hivi majirani zetu wanatuelewaje jamani? Tujiulize, nini hatma ya kina Nape, makamu wa rais, Nchemba, na wengine waliohusika na kutaka kumkomboa muuza unga? Rais Magufuli tafadhali wawajibishe hawa watu haraka sana maana this is beyond insanity. Watu wanahangaika kuyumbisha jitihada zako za kutaka kusafisha nchi, is this fair?
 
mitale na midimu ,

..operation ya kukamata wauza madawa ingekwenda vizuri kama wanasiasa wangekaa kando.

..tatizo ni wanasiasa kuingia humu na kujaribu ku score political points na kuwashughulikia wapinzani wao.

..operation dhidi ya madawa ya kulevya ilitakiwa ituunganishe waTz bila kujali itikadi za vyama. Lakini kuna vichwa maji wameingilia utendaji wa vyombo vya dola na matokeo yake operation hii imekosa muelekeo na kuungwa mkono.

Ni kwa sababu wanaguswa kwa namna moja ama nyingine....hata wewe ungekatiwa maslahi yako ungekuwa hivi hivi.
 
Tatizo vita iliandaliwa kwa kuwalenga fulani na fulani tukubali waliolengwa baada ya kukamatwa na kujisalimisha biashara kubwa ninayoisikia sasa hivi ni mashamba ya bangi madumu ya gongo,mirungi na muda si mrefu zoezi litahamia kwenye viroba taratibu la madawa litasahaulika na watuhumiwa watasahaulika ndivyo tulivyozoea mwanzo kasi mwisho usingizi
 
Tanzania vita ya madawa ya kulevya naona tunacheza cheza tu.

Kwanza sijaona drugs dealers wakubwa yaana kingpins ambao wanamili hata eneo Fulani kibiashara kitu ambacho hapa tz hakuna.

Hao wauzaji ambayo ni wasafirishaji waliotajwa majina yao Mara kadhaa kwa muda mrefu ndiyo Kamishina Sianga anatakiwa akamate wote kwa uchunguzi wa kina kwa hapa tz

Hao mateja wote mtaani ni wagonjwa tu wapewe msaada wa kiafya yaani methadone na psychosocial support ili kurudi ktk jamii.
Sema sijui na siyo hamna
 
Waliachiwa kwa dhamana, usiniulize sasa.hivi wako wapi!
Kwahiyo kumbe hii kesi inadhamana?na passport zao wakarudishiwa sio,na waliowadhamini vipi nao bado wapo tu au?kipindi kile hivi ni serikali gani ilikua madarakani ni hawahawa jamaa?
 
In mexico hiyo siyo habari unamkamata drug lord wanaibuka wengine! Hivi nyiye vita ya drugs mnaijua au mnaongea tuu? Mmefanya research? My friend drugs wakikamatwa kingpins wanaibuka kingpins wengine na bei ya mzigo hupanda! You cant win war in drugs wameshindwa usa na china utaweza tz! Au mnaona mfano wa phillipines mnadhan mtaweza? Kuweni serious mpaka leo sijasikia one kg ya cocaine or heroine iliyokamatwa zaidi ya vikete kadhaa mbaya zaidi mnakamata mirungi na bhangi mnatangaza tumekamata drugs so and so! Yaani wa tz kwa kufuata upepo nawavulia kofia! Toka lini bhangi na mirungi ikawa class moja na heroin, cocaine etc

Tanzania siyo Mexico.

Sasa ulitaka waachiwe kwa kuwa "wanaibuka wengine"?
 
Sure Mkuu! Hivi Drugs Lord WA kibongo washafanya jambo gani la kutisha hapa!?

Wakati SA police anamwogopa Drugs Lord, eti Tanzania anayetajwa Kama Drugs Lord mkubwa anajisarimisha Police!
Really!?
Then unalinganishaje Drugs Lod Bongo Na Mexico, US or SA?

= anajisalimisha
 
Vita ya madawa ya kulevya hata amiri jeshi mkuu haiwezi..
Wauza madawa wanatumia mbinu gani ya kijeshi ili Amiri jeshi mkuu ahusike? Haya mambo yetu ya siasa yaishie hukuhuku Jeshi tuliache lifanye mambo yao wenyewe.
 
Wanasiasa wa nchi hii wasipoangaliwa kwa jicho la tatu,tutakuwa na hali mbaya! Vyama kwanza,taifa ndio linafuata....Na hizi media zinachangia sana.
 
In mexico hiyo siyo habari unamkamata drug lord wanaibuka wengine! Hivi nyiye vita ya drugs mnaijua au mnaongea tuu? Mmefanya research? My friend drugs wakikamatwa kingpins wanaibuka kingpins wengine na bei ya mzigo hupanda! You cant win war in drugs wameshindwa usa na china utaweza tz! Au mnaona mfano wa phillipines mnadhan mtaweza? Kuweni serious mpaka leo sijasikia one kg ya cocaine or heroine iliyokamatwa zaidi ya vikete kadhaa mbaya zaidi mnakamata mirungi na bhangi mnatangaza tumekamata drugs so and so! Yaani wa tz kwa kufuata upepo nawavulia kofia! Toka lini bhangi na mirungi ikawa class moja na heroin, cocaine etc
Kwa hiyo unataka biashara inchwe huru? akili za za arosto hizi
 
Huwezi kufananisha Drugs Lord wa US, Mexico na Watanzania, Drugs Lord wa Tanzania ni Wachumba tu hawana lolote, ni rushwa tu ndo imefanya waendelee kuwepo! Drugs Lord wa South Africa wanaogopeka kuanzia na Raia mpaka Police, sio kwa sababu ya rushwa, ila wengi wana own zile Gangsters Crew, wanawalipa mishahara, wana Silaha na wanawalinda Drugs Lord Wao.

For example Cape town ukisikia Ile vita ya Drugs Lord kila mmoja anataka kumdondosha mwenzie Ili a run business peke yake kwa eneo kubwa, ni Kama vita yani, huko ndo Ile Americano Gangsters hawavuki mtaa kwenda Latino Gangsters area, Kuna Warangi rangi, Namba chafu kabisa, ukikutana na Mrangi rangi Ile Chafu wewe mwenyewe Unajua huyu sio mtu mzuri!

Communities zao zipo kimya zinawaogopa Drugs Lord, coz wenyewe ukileta umbeya wanakutwanga risasi! Kila Member ukimuona hasa jioni utaona kaficha Bastola kiunoni! Sasa Drugs Lord wa wenzetu utawaringanishaje na hawa wa kwetu?

Serikali ikiamua inawazima tu na hawawezi fanya lolote!

Believe me Kama ingekua ni South Africa, TID na wenzake wangekua Washalala siku nyingi!

Mnawapa sifa Drugs Lord wa Kibongo kwa sifa wasizo stahili!
Drug lords wa Tanzania ni wabunge
 
In mexico hiyo siyo habari unamkamata drug lord wanaibuka wengine! Hivi nyiye vita ya drugs mnaijua au mnaongea tuu? Mmefanya research? My friend drugs wakikamatwa kingpins wanaibuka kingpins wengine na bei ya mzigo hupanda! You cant win war in drugs wameshindwa usa na china utaweza tz! Au mnaona mfano wa phillipines mnadhan mtaweza? Kuweni serious mpaka leo sijasikia one kg ya cocaine or heroine iliyokamatwa zaidi ya vikete kadhaa mbaya zaidi mnakamata mirungi na bhangi mnatangaza tumekamata drugs so and so! Yaani wa tz kwa kufuata upepo nawavulia kofia! Toka lini bhangi na mirungi ikawa class moja na heroin, cocaine etc
Wewe unatumia box na si kichwa! Umefanya research ipi wewe!? Yaani ulinganishe cartels za Mexico na bongo? Wakati mwingine mtumie vichwa kufikiri.
 
Back
Top Bottom