Recent content by hhaway

  1. hhaway

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Yeah huo ndio ukweli
  2. hhaway

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Tumezaliwa watatu kwetu wa kiume wawili wakike mmoja ambaye ndiyo dadaangu Baba anampenda sana huyu wakike na mama anampenda sana huyu mdogo wangu wanajitahidi za kuficha ila upendo ni upendo tu huwezi kuuficha
  3. hhaway

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Katuga anasema mahakama itumie utashi wake na sio "shall" ya katiba
  4. hhaway

    JamiiForums Tanzania Kwani DCI Kingai na wenzie waliiitwa kumtetea Mh.Lissu , au kuja kuthibitisha uhaini wake?

    Shahidi anatakiwa kueleza kile anachokifahamu na sio kukutetea
  5. hhaway

    JamiiForums Tanzania Mpigieni na Mabondo, mwambieni aache kuruka na mafundo. Mwimbaji Rose Mhando.

    Alikuwa ana maana gani
  6. hhaway

    JamiiForums Tanzania Wana theolojia naomba ufafanuzi kati ya Yesu na Paulo nani mwenye final devine rights zaidi?

    Naona umekimbilia kwenye uzushi wa karne ya pili amb Bado hujaonesha wapi Paulo amepotosha yote uliyoyaongea ni heresy za karne ya kwanza ibada ya jumapili, utatu utowashi ulikuwepo hata kabla ya kuwepo kwa Paulo kuoa mke mmoja lipo kwenye desturi ya kiyahudi ndoa maana ukisoma kitabu cha...
  7. hhaway

    JamiiForums Tanzania Wana theolojia naomba ufafanuzi kati ya Yesu na Paulo nani mwenye final devine rights zaidi?

    Licha ya kwamba wewe ni mtaalam wa fasihi ila kuelewa context ya mtume Paulo imekuwa ni ngumu kwako Paulo hajawahi kupinga sheria hata sehemu moja na wala hang'ati na kupuliza kama unavyodai Paulo anapingana na mabaraza ya kiyahudi ambapo kama utatuliza akili utaona wayahudi wakristo...
  8. hhaway

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal avunja ukimya kuhusu kauli za kibaguzi na kejeli dhidi ya Uislamu

    Adriz nikisema waislamu mnasumbuliwa na inferiority complex kila kitu unahisi mnaonewa namna nzuri ya we kupambana na vita dhidi ya dhihaka,ubaguzi wa rangi au dini ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine
  9. hhaway

    JamiiForums Tanzania Hayawi, hayawi, yamekuwa! Teknolojia imethibitisha tena ukweli wa Biblia!

    Yes huu ndio moja kati ya utabiri ambao naupenda sana ukisoma tafsiri ya globalization ni interaction of people company na growth of technology ambayo ni what exactly Daniel alisema back in 500BC
  10. hhaway

    JamiiForums Tanzania KERO Kero: Wahudumu wa shoppers Arusha mna kauli chafu

    Shoppers 2021 nilikutana na ubaguzi wa rangi kabisa Hadi leo sijarudi
  11. hhaway

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo na CNN wana cheti cha ithibati cha kufanya forensic investigations?

    Mkumbusheni kuwa wana bajeti ya zaidi ya Trillion 9 kwa mwaka
  12. hhaway

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

    A fool at 40 is a fool forever kwa sababu hapo ndio maisha ya mwanaume yanaanza
  13. hhaway

    JamiiForums Tanzania Tulipofika: mbegu ya chuki inapandwa, umma unachezeshwa, na hatari ina tengenezwa, hatua za haraka zichukuliwe!

    Jeshi la police linavyozidi kukaa kimya ndio linamalizia chembe ya Imani ndogo iliyobakia Linatakiwa kutoka hadharani na kukiri ukweli huu sio wakati wa sisi kudanganyana tena
  14. hhaway

    JamiiForums Tanzania GE2025 "I am the Commander-in-Chief" - Samia Warns Against Election Day Protests, Urges Tanzanians to Focus on Voting

    She has been saying this statement over and over and over why? Is she afraid of someone else
Back
Top Bottom