Penzi la binti mlokole linanitoa jasho

Penzi la binti mlokole linanitoa jasho

Nina rafiki yangu mmoja aliangukia moja, mlokole sanaaa, nikajisemea haya nitayaangalia yatakuaje......jamaa akaaanza kubeba biblia mbili mbili, ya kiswahili mkono wa kulia na la kiingereza mkono wa kushoto, masuti kwa sana, mara naona anaanza kukaribishwa kula neno kwa nyumba ya binti...........baadae namuona karudi hali yake ya kidunia!, nikimuuliza jamaa apasua kicheko na hasemi yalio tokea, nilijua ashamtoa manyoya mwanakondoo wa watu......kuna watu wana cheza shere na neno la mungu!!!
 
Beba biblia na omba nafasi ya kutoa neno hata kwenye jumuiya au seli utakuja kunishukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom