Recent content by hewa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane: Tafsiri ya neno 'deadline' kwa Kiswahili ukitumia neno moja tu

    mstarikufa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mwajiri hajatoa mishahara 5 months now

    kisheria ndugu yangu unapaswa kwenda ofisi ya kazi mkoa na wao watamuandikia huyo muajiri wako amri ya kumhitaji aje ofisini kwao ili ahojiwe kuhusu kutolipa kwake mshahara. kuhusu kuwa na mkataba halali wa kazi siyo jukumu la muajiriwa kwani anayepaswa kuthibitisha juu ya mahusuiano yote ya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    Kila mtu eti SAUT? do they know SAUT?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimepata kazi baada ya kumaliza chuo

    I la kweli hata mimi nimeamini Mungu ni Mwema na pia hawa utumishi katika mchakato mzima wa ajira wako huru na sawa kwa asilimia 98.9
  5. H

    JamiiForums Tanzania Thank you god the almighty, for you have given me a life time opportunity

    I wish to express my heartfelt thanks to God and the king of heaven and earth for being so faithful in my life, dear God has helped me to get a job in one of the government ministerial department, thanks to all friends in JF I have believed today that if God says yes no one can say no.I will...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Siku nilipokosa kaziI sababu ya kuwa msafi sana ofisini

    Mbona humu ndani mi komenti mingi sana imeandikwa kwa lugha ya ajabuajabu isiyoeleweka? mara "usiwoory kabisa that ilikuwa not chance yako so kama vipi struggle na pia hustle etc. " What are all these filthiness meaning to knowledgeable people?Are we not trusting our mode of communication? can...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu sana kwa utumishi

    kama ni hivyo wakae basi wakijua kwamba kuna baadhi ya watanzania ambao ni masikini wananyimwa haki yao ya msingi kabisa, kwani hata hivyo usaili ni kitu kinachoweza kufanyika mahali popote Tanzania na kama kufanya hivyo ndiyo kupunguza idadi ya watu basi ni bora hata hiyo tume wasijitambulishe...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu sana kwa utumishi

    Poleni sana na kazi za kila siku za kuhakikisha kuwa sisi watanzania wenzenu tunapata ajira. Mimi ni mtanzania ninaeishi mkoa wa Mara, ninapenda kuuliza maswali yafuatayo: Hivi huwa mnajisikiaje kuita watu kwenye usaili kuja Dar es salaam huku mkitambua kwa hakika usumbufu na umasikini...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Angalizo: TBS na rushwa ya ngono katika usaili

    Balaa tupu! Utu na ubinadamu vimebaki kuwa historia miongoni mwa wa watanzania wengi, maadili ya babu zetu sasa zatiwa kapuni, na wala hakuna anayethubutu kuziendeleza, pia hata hofu ya mwenyezi mungu sasa nayo imepungua, watu wanafukuzana kutenda dhambi na uhalifu wa kila namna ili tu wapate...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoitwa interview na utumishi wa umma

    Aise sina budi kuwaalika watanzania wenzangu ambao tunaendelea kukaa mtaani pasipo sehemu ya kushika kumpongeza huyu mzalendo mwenzetu kwa kujaribu kutupatia japo sehemu ndogo na yta muhimu kuhusiana na namna ya kufanya vizuri kwenye usaili, Ahsante sana
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri ndugu zangu, nimepata kazi serikali na kwenye private sector, niende ipi?

    Hakyanani kizazi ambacho kimelelewa kwenye familia ya walarushwa kweli kinakua kikijua kuwa rushwa ni kitu halali, cha kushangaza kizazi kama hiki ndicho kinapata fursa katika sehemu muhimu ni kwa sababu ya kuwa muumini wa tabaka la malaghai malarushwa yasiyo na hofu ya Mungu, Angalia kinavyo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi

    Mi sina comment nyingine zaidi na hayo wakuu walizotoa hapo juu, cha muhimu ni kubadilika na kuacha tabia zile za primary za nani kashika namba moja.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Ecology

    Hii ni shida kwelikweli, yaani hata wewe? Aisee!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Looking for "Ethical Job"

    haaaaaah! mimi simcheki mtoa mada ila wale wanaomkashifu na kumhukumu kwa yeye kutokujua kuandika kiingereza lakini tutambue kuwa tunamdhihaki mwenzetu aliyejiamini na kuandika kile kitu kwa jinsi anavyokijua yeye sasa ndugu zangu wanaojua kiingereza cha kuandika hapo jamaa kawafikisha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka Uhamiaji

    ​kwa mtu mwenye busara na akili japo ndogo tu,huwa anakuwa na tabia ya kuhisi aibu hasa pale linapozuka suala ama jambo lolote lililo na chembechembe za uhuni, upendeleo na hata dhuluma, na bahati mbaya sana huyo mtu akagundulika na kudhibitika kuhusika kwenye tuhuma hizo zinazomsibu...
Back
Top Bottom