Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Ecology

Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Ecology

FMB

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
25
Reaction score
10
Habali ndugu zanguni wana jukwaa. Naomba ushauli wenu katika hili.

Nina Master of Science (MSc) Ecology. Naomba kupata ushauli wenu wana jukwaa wapi naweza kufanya kazi ya kujitolea (Volunteering) ili nipate uzoefu zaidi wakati huo huo nikisaidia katika kazi zote kama Ecologist/Researcher/Wildlife Ecologist/ Environmental Conservationist na maeneo mengine yanayofanana na hayo.

Pia ninaweza fanya kazi kama mwalimu wa Chuo kikuu (Assistant lecturer) kwa maeneo niliotaja hapo juu kwani ninazo sifa husika. Hivo basi naombeni kwa mwenye uelewa juu ya hili au mawazo yoyote chanya kwangu anisaidie.

Kalibuni waungwana. Kama sio jukwaa sahihi naombeni #MODs mnisaidie kuweka sehemu husika.

MAWASILIANO; ecgsttz@yahoo.com
 
Jaribu Tanzania wildlife research institute, Tanapa, idara ya wanyama pori, frunkfurt zoological society wengine wataongezea
 
mkuu, unashindwa tofautisha "r" na "l" kwenye baadhi ya maneno yako ya kiswahili. mfano: habali, ushauli, kalibuni.

:focus: umejaribu kuapply kupitia pitia websites kama zoomtanzania? ajira zetu? vijana jobs? sidhani kama mtu mwenye masters unaweza kosa huko.

all the best.
 
ningekuwaa wewe ndio mimi ningefungua FMB environment consultancy firm
ningekuwa nafanya kazi za ushauri kwenye migodi,viwanda,serekalini etc
nafanya garden and land scaping,fummigation and related services
;
;

sema tu sina muda wakufikiri hivi kwakuwa nimesoma ili niajiriwe ndio maana nasaka ajira kila siku
 
Asante mkuu. Nitapitia hizo sites
 
ningekuwaa wewe ndio mimi ningefungua FMB environment consultancy firm
ningekuwa nafanya kazi za ushauri kwenye migodi,viwanda,serekalini etc
nafanya garden and land scaping,fummigation and related services
;
;

sema tu sina muda wakufikiri hivi kwakuwa nimesoma ili niajiriwe ndio maana nasaka ajira kila siku

Safi Obama kwa mawazo chanya. Hakuna mtu wa level hii anapenda kuajiriwa ila mfumo wa maisha unatulazimisha. Jiulize umemaliza degree ya kwanza ukaunganisha degree ya pili unamaliza unarudi mtaani familia zenyewe ndo hizi ukishakua na degree we ndo nyota, je unaanzia wapi kufungua firm bila kua na somewhere to start? Hivo hii ni kwakuanzia tu mengine naamini yatakuja baadae nikishakua na standing yangu.

Hata hivo nimependa mchango wako nashukuru sana mkuu.
 
Back
Top Bottom