Recent content by hery_edson

  1. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Mkuu acha kudanganya watu fanya utafiti.....bakhresa yupo soko la hisa kupitia kampuni ya twiga cement (tpcc).
  2. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Elimu elimu elimu, hivi mkuu unajua utt na soko la hisa linavyofanya kazi....?
  3. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Ni kweli, gachuma ana hisa za crdb almost 32M, pia ana hisa pale afriprise kwenye soko la hisa la dse, so unaweza piga hesabu fasta fasta hapo ana mzigo wa kiasi gani.....
  4. hery_edson

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Mabaga fresh stejini....
  5. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Inategemeana na risk appetite yako, hatifungani ni uwekezaji salama zaidi wenye constant earnings (12% or 15 p.a) Ila kama una risk appetite kubwa, hisa ni nzuri, maana unaweza kupata return hadi 500%, ila kama kampuni uliyochagua haija perform vizuri kwa kipindi husika tegemea pia -ve return.
  6. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Hata mm nashangaa hili sana kwenye soko, sijui kwa nini hawaioni potential ya nicol.
  7. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Zote ni nzuri na zina mfumo mmoja wa uwekezaji (close ended fund), ila nico yupo vizuri sababu ya hisa zake nyingi zipo NMB kwa hiyo performance nzuri ya NMB ina affect directly to Nicol. Afriprise naye yupo vizuri sana, ila huyu ame invest sana kwenye kampuni za east africa (kenya uganda...
  8. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Wapo vizuri kwa strategy, lakini kwa miaka hii mitatu mfululizo mapata yao yamekuwa yakishuka, pia soko lao limekuwa gumu sana sababu ya kuingiliwa na makampuni kama ya dangote cement.
  9. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Crdb tayari huko pameitika.
  10. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kwa kweli asee......nahisi utakuwa uzi mrefu kuliko wote....maana wengi tupo 3rd floor mpka tustaafu utaupita hadi ule uzi wa kula kimasihara😂😂😂
  11. hery_edson

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili hii tunashindwa kununua hisa za CRDB

    Ninavyohisi, kutokana na performance ya hisa za crdb zimekuwa na matokeo mazuri sana sokoni kuanzia kwenye faida hasa kwa report za Q1 na Q2, so wanauhakika wa gawio kubwa ambapo inapelekea pia bei yake sokoni kupanda zaidi kwa hiyo ndio maana watu wanazi hold wanaamini kuna future nzuri zaidi...
  12. hery_edson

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili hii tunashindwa kununua hisa za CRDB

    Hapo pote ulipo ongea ni sawa....ila hisa za tcc na tbl sio adimu kiasi hicho zinauzika sana sema tu bei yake ni kubwa sana watu wanashindwa kununua. Mfano ni wauzaji wa hisa za tcc=14k hadi 15k wakati tbl=7k hadi 8k kwa hisa moja tu na hakuna wanunuzi.
  13. hery_edson

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili hii tunashindwa kununua hisa za CRDB

    Ni kweli kuwa sasa hivi bei ni hiyo uliyoitaja, ila ukiangalia pale kwenye section ya "sell" haina wauzaji, watu hawauzi ndio maana hiki kipindi imekuwa ngumu sana kuzipata hisa hizi sokoni.
  14. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Pambano la Mwakinyo laahirishwa, mkanda uliokuwa unapiganiwa haukuletwa ulingoni

    Huyu amir matumla ni balaa.
Back
Top Bottom