nyote mnaokanusha uwepo wa Mwenyez Mungu, hamkusoma vitabu vya dini. Em siku moja chukua Msahaf wa kiswahl then pitia baadh ya mistar af jiulize nan kaandka? alipata wap mistar inayosh mpak leo? kwanin baadh v2 vilivyotajw karne hizo eszimegunduliw hv karibun? kwann maisha yetu yapo kitabun? je...
Binadam ana maisha sehem 4, kwanza maisha tumbon mwa mama yake, pili ni maisha ya dunia, tatu ni maisha ya kaburi, nne ni maisha baada ya hukumu siku ya mwisho. Ukisema Dunian tunapta ni sawa kwa sababu ni lazima kila mwanadamu apitie Maisha hayo yote.
sawasawa! em fikiria alichosema slaa kua ilikua ikijulikana tangu zamani hata kabla ya dr slaa kujotoa katika siasa kwamba Lowasa angekuja chadema na watu wake na wote waliafikiana, sasa naona kumbe dah... cc tunaona kachukua maamuz magum, eti Lowasa wamemkata kweny cham chake mara cjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.