Recent content by Herod Masud

  1. H

    Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

    Acha upuuzi wewe, watu wanajadili mambo ya maana ya Tanzania wewe unatuletea mambo yenu watusi na wahutu, this is not our business at the moment. Mmeshindwa kutatua matatizo yenu wenyewe sasa kila kukicha unaposite heading za Rwanda propaganda. Wewe ni Mhutu uliyekimbia Mauji ya kimbali Rwanda...
  2. H

    Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

    Kaguta Kayumba ni mwanajeshi mkubwa na mzoefu, Kwa Hali ilivyo anajua maadui wake na hasa wale Ndugu na wafuasi wa marehemu Patrick Nyamwasa amabeya sasa inaonekana aliuliwa na Kundi la Kayumba baada ya kugombania madaraka na Nyamwasa kushinda. Mpaka mauti inamkuta hawakuwa hata wakiongea. My...
  3. H

    Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

    mimibaba, Unasema naushahidi na ulishuhudia mauji yaimbali ni kwakuona au kusikia?
  4. H

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Ashton Umeshabikia wakala wa Dr Kitila bila hata kuhesim alicho sema, toa hoja acha kupi kelele, hebu rudi nyuma usome ulichoandika. Acha mambo ya kanga moko toa point man.
  5. H

    Uraia wa waTutsi !

    Hujatenda haki, Prof Rwakabamba kaajiriwa Kwa uwezo wake siyo Kabila lake. Watanzania wengi Pia wameajiriwa Rwanda na nchi nyingine dunia mbona unakuwa mkabila AMA unanongwa na Kabila watusi? Tusitukuze ukabila tukasahau uwezo na umuhimu alionao mtu.
  6. H

    TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

    Ndugu yangu Mohamed Said, Salam Aleikhum, Umefanya kazi kubwa ya ubaguzi wa kihistoria, Hata sisi waislam sasa unatuchosha. Hieleweki lengo lako ni lipi katika uchunguzi na Mchango wa Uislam katika kutafuta Uhuru. Ningependa unijibu swali langu dogo, lengo la harakati za ukombozi wa Tanganyika...
  7. H

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Mheshimiwa Kigwangala Kabila la Mbowe limekuja vipi kuwa tatizo? Tunaomba msaada wako mheshimiwa kwani Mbowe ni KABILA gani tulidhani mchaga. Unataka kusema nae ni mhamiaji haramu?
  8. H

    Vita ya Uganda sawa.....Rwanda hapana...Kagera tunasema hapana

    Hakuna kielelezo cha msingi kinacho thibitisha Rwanda kuivamia Tanzanai, Tanzania kuna kundi linalo pambiza vita Tena linaendela kukua Kila kukicha. Mimi ninawalaani sana na maandishi yao yatabaki uthibitisho siku itakapo fika. Wanaodhani vita ni mchezo wa kuigiza waendelee. Historia itasomwa
  9. H

    Vyombo vya habari vya Tanzania uzalendo upo wapi?

    Wewe Gulit acha unafiki wa kuchochea vita kwa tafsiri ya Uzalendo fake, kwanza tuthibitishie faida ya uzalendo wako Kama mtanzania ili liwe fundisho kwetu kuwa wewe Gulit unamaana tofauti na ushabiki wako wa vita hata Jkt hukujui,. ITV nichombo huru, na siyo cheap tag Kama hoja zako wewe...
  10. H

    Sad: 6000 FARDC killed 120 captured by M23 including Captain Patrick Nyembo

    Hii ndiyo vita, ngoja majina ya marehemu siku yatakapo andikwa ukutani. Katika Hali hii mashabiki wa vita hupenda kuingiza mbwembwe kwenye ugomvi kisha Jina la ndugu yako linasomwa Mara kilio na kwikwi.
  11. H

    Magazeti ya mafisadi yanashabikia vita kati ya Tanzania na Rwanda!

    1. Wanapoteza focus ya watanzania kutoka vita vya madawa ya kulevya. 2.wamelipwa na Congo kuifanya Tanzania ionekane ndio mhusika zaidi katika kwenye huo mgogoro 3 Mafisadi wamepewa tenda ya kupeleka Siraha.
  12. H

    Tunahimizwa Uzalendo Je nani Ameruhusu Majeshi yetu Kwenda vitani? Mbona Wabunge hawahoji?

    Vita haianzi siku moja, ishara yake ni hii ilivyo sasa, majirani kuombeana mabaya, kushabikia migogoro na chokochoko. Baada ya hapo kuanza kupelelezana Nguvu za kijeshi. kureport uchokozi na kulipiza kisasi hatimaye ni mauwaji kamili. Tusidanganyane kuwa Hali ni normal UN peace keeping mission...
  13. H

    Jifunze: Kwa mnaopenda Vita au mashabiki wa Vita na Rwanda

    Fitinamwiko, Naomba nikwambie, hakuna vita isiyo na maslahi labda Kama mwanao au your blood family member is on threat ambavyo bado ni maslahi ya familia. Vita vya Congo itakuwa ni chanzo Kikuu cha Tz na Rwd kupigana na hata mahusiano mabovu, hizi kauli za viongozi ni hatua ya mwisho sisi watu...
  14. H

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Humu JF kuna watu wanaotumia jukwaa kufikisha chuki zao za kihistoria, Kwa mtanzania wa kawaida hawezi kuwa na chuki Kwa Rwanda Kaisi cha waraka huu wa Manyerere. Katika waraka wake na baadhi ya wanao unga mkono utaona kuwa wanachuki special na Tabaka la watutsi na siyo wahutu ambao ndiyo jamii...
  15. H

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    samahani Manyerere, Huu waraka umeandika wewe au mtu katumia account yako? Huwezi kuwa mjinga Kaisi hiki nonono! nilipenda sana kusoma article zako hii imenitia kichefu chefu! Kwanza data hazina source na not analytical as used to be. Story ni moja umejaribu kuunga unga hadi uwongo unakuwa...
Back
Top Bottom