Vyombo vya habari vya Tanzania uzalendo upo wapi?

Vyombo vya habari vya Tanzania uzalendo upo wapi?

gulit

Senior Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
106
Reaction score
19
Nimekuwa nikifuatilia jinsi vyombo vya habari vya Tanzania vinavyoindika Rwanda ktk huu msuguano kati ya Tanzania na Rwanda.

Inavyosemekana Rwanda inawasaidia waasi wa M23, na vikosi vya Tanzania ni sehemu ya kikosi cha UN kinachopambana na waasi wa M23, hii ina maana Tanzania ipo vitani na Rwanda indirect.

Cha ajabu wiki nzima nimekuwa nikiangalia ITV wanaandika habari za kuipanda Rwanda kwamba uchumi wake unakuwa na mengi mazuri wakati wenzetu wa nchi za magharibi na hata Rwanda wenyewe nchi inayogombana na nchi yao hawawezi kuiandika vizuri hata kidogo hata kama ina mazuri.

Swali je ITv wana agenda gani ya siri kutaka kudhoofisha majeshi yetu au?
 
Nadhani sio swala la kulishaukia kwa ushabiki sana. Linahitaji umakini kidogo media isijeonekana ilichochea badala ya kuinform
 
Nimekuwa nikifuatilia jinsi vyombo vya habari vya Tanzania vinavyoindika Rwanda ktk huu msuguano kati ya Tanzania na Rwanda. Inavyosemekana Rwanda inawasaidia waasi wa M23, na vikosi vya Tanzania ni sehemu ya kikosi cha UN kinachopambana na waasi wa M23, hii ina maana Tanzania ipo vitani na Rwanda indirect.

Cha ajabu wiki nzima nimekuwa nikiangalia ITV wanaandika habari za kuipanda Rwanda kwamba uchumi wake unakuwa na mengi mazuri wakati wenzetu wa nchi za magharibi na hata Rwanda wenyewe nchi inayogombana na nchi yao hawawezi kuiandika vizuri hata kidogo hata kama ina mazuri.

Swali je ITv wana agenda gani ya siri kutaka kudhoofisha majeshi yetu au?


Ulikufa na Mwl. Nyerere... sababu viongozi wote waliobaki sio Wazalendo...

It is Just Me Me Me Me...
 
acheni nyeusi iitwe nyeusi ,hakuna cha uzalendo hapo.
 
Wewe Gulit acha unafiki wa kuchochea vita kwa tafsiri ya Uzalendo fake, kwanza tuthibitishie faida ya uzalendo wako Kama mtanzania ili liwe fundisho kwetu kuwa wewe Gulit unamaana tofauti na ushabiki wako wa vita hata Jkt hukujui,. ITV nichombo huru, na siyo cheap tag Kama hoja zako wewe.

Mtanzania wa kweli Kamwe hashabikii vita na hisi kuna kasoro kwenye uraia wako maana unataka uonekana Tanzania kuliko Mgogo au mfipa! Wazamiaji hula na kunywa kuliko wahusika. Acha kutukana vyombo Vya habari.

Tanzania Iko Congo Kwa Mwavuli wa UN. Kuna maisha yanaendelea kati Rwanda na Tanzania watu wanafanya biashara na kuhusiana Kama zamani. Wa Congo kibao wanataka Tanzania na Rwanda ziwapiganie vita Yao kwanini msijipange na mkaweka mikakati ya maendeleo kwenu Congo? Upambe wa Mopao tu ndiyo mnajua. Mnataka kuifanya TZ Mopao siyo?
 
Nimekuwa nikifuatilia jinsi vyombo vya habari vya Tanzania vinavyoindika Rwanda ktk huu msuguano kati ya Tanzania na Rwanda. Inavyosemekana Rwanda inawasaidia waasi wa M23, na vikosi vya Tanzania ni sehemu ya kikosi cha UN kinachopambana na waasi wa M23, hii ina maana Tanzania ipo vitani na Rwanda indirect.

Cha ajabu wiki nzima nimekuwa nikiangalia ITV wanaandika habari za kuipanda Rwanda kwamba uchumi wake unakuwa na mengi mazuri wakati wenzetu wa nchi za magharibi na hata Rwanda wenyewe nchi inayogombana na nchi yao hawawezi kuiandika vizuri hata kidogo hata kama ina mazuri.

Swali je ITv wana agenda gani ya siri kutaka kudhoofisha majeshi yetu au?
HIVI WEWE UNASHANGAA NINI WAKATI HII TABIA ILIANZA TANGIA ENZI ZA UTAWALA WA AWAMU YA KWANZA? mwaka 1978 Gadafi alituvamia na kusaidia majeshi ya uganda ili tusigomboe ardhi yetu. Wakati watanzania wana hasira na gadafi na ubalozi wake hapa nchini ulikuwa unalindwa na majeshi yetu, raisi wetu alikwenda katika mkutano wa OAU na kumpigia kampani ya gadafi kuwa mwenyekiti wa OAU huku africa nzima ilisusa mkutano huo!!!!!

Pili majeshi ya anga na ardhini ya palestina yalikuwa msari wa mbele kumsaidia Iddi Amin atutwange na wala tusigomboe ardhi yetu, lakini raisi wetu alikuja weka palestina day sherehe ya kutukana wayahudi kila mwaka mwezi novemba kwa wiki moja nzima !!!!!!!!

Iran ilitaka kututeka nchi nzima na kutufanya tuwe vibaraka wao, raisi wetu hakuvunja uhusiano wa kibalozi na Iran!

kwa kifupi swala la uzalendo kwa nchi yetu halipo, ukitaka kuona wanaandika mabya wao huandika matusi mabaya kwa israeli tuu kuwa wanakalia ardhi kimabavu. ITV mwaka 20007 ilimhoji balozi wa Israeli tanzania kuhusu matatizo ya middle east, halafu chini ya habari hiyo wakamhoji Issa shivji ili amkandiye balozi wa Israel!

vyombo vyetu vingi vya habari vinataka sana kuonesha uzarendo wao kwa wapalestina either kwa kuwapa ruhusa kuitukana Israel au kuwapa redio wapalestina kuitangaza vibaya israel lingine hawana la kuonesha uzarendo kwa sisi.
 
We are killing them with kindness, probably through some airhead editor at ITV who doesn't understand the first thing about patriotism. Which is all for the better. The alternative could easily escalate the media war. This is showing that we are above the fray and our supposedly free media could even compliment their achievement, while hitting them hard militarily, where it matters. With UN blessings no less.

Personally I am loving the ironic twist.
 
Back
Top Bottom