Recent content by Hero

  1. Hero

    JamiiForums Tanzania Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

    Hawezi kuamka huyo, kwanza macho yake yamelegea utadhani amekula kungu! Anazidi kupotelea kwenye usingizi wa pono! Wakiisha wanyama itabidi irudishwe biashara ya watumwa! Seriously, badala ya kuanzisha viwanda ili tuuze processed animal products unawaza upuuzi wa kusafirisha wanyama ghafi...
  2. Hero

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    mama anapenda sana kujikosha! l Lakini pin ipo palepale, ilani imesheheni ahadi ambazo ngosha angekuwepo zote zingetekelezwa na zingine kuongezwa! Sie tunancheki tu!
  3. Hero

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

    acha ujinga ww, mambo yanayoongelewa ni mazito ww unabwabwaja na mtu, hovyo kabisa ww!
  4. Hero

    JamiiForums Tanzania Binti yangu anataka kusomea uhudumu wa ndege (Air Hostess) nimepeleke chuo gani?

    Yote sawa, ila Hilo la kupewa namba yake mmmmh!
  5. Hero

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Mtazamo wako ndio anguko lako!
  6. Hero

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Hata mie nimesoma nje ya nchi ila hayo uyasemayo isipokuwa la verification, hayana uhalisia! Verification ni muhimu sana ingawa wanaweza kupunguza ukiritimba! Kuhusu 'treatment' unayopata kazini is purely comes from your own attitude! The fact that you are still referring to your foreign...
  7. Hero

    JamiiForums Tanzania Alama kubwa zilizoachwa na Marais wa Tanzania katika vipindi vyao

    Upo sawa mno mkuu! Akili yake mleda nada ni finyu sana! Legacies za Mwl.JK Nyerere na JPJ Magufuli zinafanana ambazo ni kuliweka taifa huru na kuliondoa ktk utegemezi, pia kujali maslahi ya watz na nchi Yao kwanza, na kulipaisha taifa kiheshima ktk global stage kama kiongozi na siyo mtwana! Pia...
  8. Hero

    JamiiForums Tanzania Haya mambo usiombe yakukute, tunamsaidiaje huyu?

    Mbona Kila mtu anaongea kwa kujihamihami TU! Huyo Binti Si ulimpenda! Kwani hamjuweka hadidu za rejea; ulimuahidi kumuoa na kuwa ulikuwa single? Kama hukuwahi kumuahidi kumuoa basi Waambie unajiandaa kwanza utakapokua tayari utakwenda kumuona🤓! Wasikukimbize, subira yavuta kheri...
  9. Hero

    JamiiForums Tanzania Haya mambo usiombe yakukute, tunamsaidiaje huyu?

    Uliuliza 'tutamsaidiaje eeh'?
  10. Hero

    JamiiForums Tanzania Mention someone without any reason just to disturb them

    Seriously for no reason 🤓!
  11. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni nchi ya tatu Sub-Saharan Africa kwa kupokea remittance. Inapigwa na Nigeria na Ghana pekee

    Kinakuwasha nini😡!
  12. Hero

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna vyeti vya kuzaliwa vinajazwa siku hizi

    Huu ni umbea Sasa! Walikuwepo kwenye gombania gori mpaka wajue mbegu ya nani iliyopenya!!
  13. Hero

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna vyeti vya kuzaliwa vinajazwa siku hizi

    Maelezo yako yanajichanganya! Jibu lilishatolewa huko juu na ncha Kali!
  14. Hero

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna vyeti vya kuzaliwa vinajazwa siku hizi

    Hili 👇 ndilo jibu kuntu, fanyia kazi hili mengine yote ni umbea tu!
Back
Top Bottom