Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Niko najaribu hapa 😁Jigonge alafu uone uchungu utausikia wapi... Kwenye ubongo mpaka moyo...
Niko najaribu hapa 😁Jigonge alafu uone uchungu utausikia wapi... Kwenye ubongo mpaka moyo...
Kamanda asie choka 😅😅😅
Umeusikia utamu mpka wapi...Niko najaribu hapa 😁
Salimia jombaaa zanguu hata kama hawanijui 😀
😀😀😀 acha nitulie mama kijacho wangu kanipiga stop
Uchogoni 🤣🤣Umeusikia utamu mpka wapi...
Sasa ukikikata unakua huna akili na unakua mtu wa kukurupuka...
Njoo kwangu, achana na Vocation...Uchogoni 🤣🤣
Dah! Basi sikati.. ngoja tu niende vacay 🇿🇼
🫣Njoo kwangu, achana na Vocation...
Zimefika rafiki. Japo unanichanganya ujue. 🙃Salimia jombaaa zanguu hata kama hawanijui 😀
Hahaha! Ndio ndio!! 💃 Huu ndo wakati wake atii yaani saa hii full tabasamu + furaha. 😂😂
Niko good kabisa na zaidi kidogo 😄.Hahaha! Ndio ndio!! 💃 Huu ndo wakati wake atii yaani saa hii full tabasamu + furaha. 😂😂
I hope uko good pia. 🙏