Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia watu wakitumia telegram na wanakuwa na uwezo wa kufatilia links na channels nyingi ila binafsi nashindwa.
Naombeni kueleweshwa hapa.
Nawezaje search links au channels ambazo sijazifollow?
Wilaya ya kisarawe nimefika na team yangu tukaembelea
Pango la popo
Msitu wa Pugu
Kijiji cha sanze
Kaburi la muingereza na
Kufahamu chanzo cha kifo cha chifu kibasila
Itakuwa ni idea nzuri sana ila changamoto tuliyo nayo Tz ni usjmamizi uoneshao uaminifu na uwazi.
Mzee aliyeajiriwa miaka 30 iliyopita Leo hii anastaafu hadi anakufwa kama sio kufariki KIINUA MGONGO CHAKE KUKIPATA NI SHIDA he vipi au itakuwaje kwa mtoto ambaye amewekezewa fedha hizo toka kwa...
Nazidi kuelewa kuwa asilimia kubwa ya watz ni hawajui ila hawajui kuwa hawajui na huu ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wow, kiukweli mim sio mpenzi wa marangi rangi ila nilipoanza maisha niliselect rangi znazovutia machoni.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wadau naomba kufahamu hivi mbali na kisarawe kukaliwa na wazaramo na baadaye kumpokea mgeni wa kijerumani na kumuuguza hadi akapona na baadaye kutaka kutawala wenyeji au bagamoyo iliyokaliwa na jamii za kiutawala kadha wa kadha hivi ni maeneo yapi mengine yana historia hai sasa?
Sent from my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.