herbert george
Member
- Mar 7, 2013
- 12
- 29
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia watu wakitumia telegram na wanakuwa na uwezo wa kufatilia links na channels nyingi ila binafsi nashindwa.
Naombeni kueleweshwa hapa.
Nawezaje search links au channels ambazo sijazifollow?
Naombeni kueleweshwa hapa.
Nawezaje search links au channels ambazo sijazifollow?