- Thread starter
- #21
Ona orange hapa ilivyo mbaya angalau kidogo kijani kibichi inavutiaIzi ndo rangi sasa za vyombo nzuri na zenye mvutoView attachment 1761496
Ona orange hapa ilivyo mbaya angalau kidogo kijani kibichi inavutiaIzi ndo rangi sasa za vyombo nzuri na zenye mvutoView attachment 1761496
Labda iwe imechanganyika ivi kidogo inavutia ila plain orange sio nzuri sana labda ilembwe na rangi nyingineOna orange hapa ilivyo mbaya angalau kidogo kijani kibichi inavutia View attachment 1761500
Hii n caroti kumbe caroti nzuri nikajua ni orange pure nimejaribu kuiangalia Mara mbili mbili naona hii na caroti sio orangeLabda iwe imechanganyika ivi kidogo inavutia ila plain orange sio nzuri sana labda ilembwe na rangi nyingineView attachment 1761507
Hii pia ni nzuriHii n caroti kumbe caroti nzuri nikajua ni orange pure nimejaribu kuiangalia Mara mbili mbili naona hii na caroti sio orange
Hii pia ni nzuri kwasababu haijawa kijani ile ya kuiva sana.inaitwa kijani kibichi siipendagi kivile ila ni nzuri kama hapa unavyoionaHii pia ni nzuriView attachment 1761512
Unaachaje rangi za vyombo kama izi kwenye kabati lako rangi ni nzuri na inavutiaHii pia ni nzuri kwasababu haijawa kijani ile ya kuiva sana.inaitwa kijani kibichi siipendagi kivile ila ni nzuri kama hapa unavyoiona View attachment 1761514
Nyeusi ni nzuri lakini inategemea na chombo unachochukua mi siipendi sana na kama vitakuepo basi ni vichache rangi yake haing'ai ivyo linafanya kabati lako la vyombo kuto onekana vizuri imagine umeweka vyombo vyeusi tu kabatini kwa kweli ni Giza tupu ha ha ha haUnaachaje rangi za vyombo kama izi kwenye kabati lako rangi ni nzuri na inavutiaView attachment 1761517
Jamani ukikosa izi rangi za vyombo basi wewe ujui kuchagua vyombo naomba niishie hapa Mimi ni mchaguaji mzuri sana wa vyombo tukienda kununua vyombo tunaweza tukakesha uko kuchagua napenda vyombo vizuri na vinavyovutia tutaendelea siku nyingineNyeusi ni nzuri lakini inategemea na chombo unachochukua mi siipendi sana na kama vitakuepo basi ni vichache rangi yake haing'ai ivyo linafanya kabati lako la vyombo kuto onekane vizuri imagine umeweka vyombo vyeusi tu kabatini kwa kweli ni Giza tupu ha ha ha haView attachment 1761523