Recent content by hent

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni ya upimaji ardhi maarufu kama Ardhi Plan

    Habari wana jamvi, Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale. Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Nakubaliana na wewe asilimia 100
  3. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaomiliki magari aina ya IST na Passo wana "stress" na wanakosa kujiamini

    Sio lazima uandike Uzi hapa jamvini,kama huna kitu productive cha kuandika kaa kimya.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa unakuwa umefanikiwa lakini ukiweza kucontrol mwili na akili unakuwa umefanikiwa zaidi.

    Nzuri sana hii,inafundisha. Wenye akili kubwa watakuelewa.Hongera sana.
  5. H

    JamiiForums Tanzania TMA yawatahadharisha Wananchi wa Ukanda wa Pwani kuhusu mvua kubwa kwa siku 4

    Hali ni tete, tujipange
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Hellen Kasusura, mwanafunzi wa Sheria mwaka wa pili UDSM, amefariki dunia

    Ndugu yangu acha hasira, kuwa na hasira, zilizopitiliza na dalili za ugonjwa wa akili, kwanza uliza alikuwa na diagnosis ipi? Kama alikuwa na vidonda vya tumbo au gastric ulcers, ikitokea perforation, matokeo yake ni mabaya au kitaalam poor prognosis, jiulize wangapi wanatibiwa wanapona hizo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Kuwa wa kwanza Kati ya wajinga ni sisi, pathetic
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbio za UKAWA kwenda Ikulu ni mbio za sakafuni

    Kweli mwenye macho haambiwi tazama badohuamini kuwa ukawa ina nguvu
  9. H

    JamiiForums Tanzania mafuriko ya lowassa

    Huyu jamaa hazuiliki ni garika
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kulikoni: Jet za Jeshi angani Mida hii ?

    Maandalizi ya siku ya uhuru,Escrow kusomwa lazima
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipunguze kitambi aka kifriji?

    Fanya mazoezi,punguza kula vyakula venye asili ya wanga yaani carbohydrates,
  12. H

    JamiiForums Tanzania angalia memo ya Baba mwenye nyumba

    HEBU SOMA HIKI KIMEMO CHA BABA ALIVYOWEKA SHERIA MPYA KWAKE BAADA YA HALI YA MAISHA KUWA NGUMU:- HOME INTERNAL MEMO FROM: FATHER TO: ALL DEPENDANTS AND RELATIVES ... CC: MOTHER DATE: TODAY ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES Due to the current economic situation, all domestic rules and...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Guiness Book of World Records: Mwanamke Mwembamba Kuliko Wote Duniani

    anaweza kuwa na ugonjwa unaitwa anorexia nervosa
Back
Top Bottom