Kulikoni: Jet za Jeshi angani Mida hii ?

Kulikoni: Jet za Jeshi angani Mida hii ?

breaking newzz pinda kastep down maprof wawili wameachia nyazifa zao mda huu moja wakike moja wakiume yule fisadi nguri ambaye mechi zote za ufisadi huwa anacheza kama namba six kiungo kasema mpaka aletewe ushahidi wa kutosha ndio ataground ubunge wake kwani ye ni learned bro pia jaji moja naye kapewa onyo kali mjengoni hali ni tete
 
usiogope hao wanafanya utafiti wa madini, jamaa zao wanamwagwa kesho Dodoma wanawapeleka wenza wao wakashuhudie wezi wa fedha za umma wakinawishwa
 
Kunani jamani, Zimepita jet mbili za jeshi angani kwa kasi ya ajabu na kama vile zinaelekea upande wa morogoro road.

Anayejua atujuze please

hahahaha! mkuu, sio kwamba unaota kweli? hizo zitakuwa zinaenda kumng'oa pinda kutoka ofisi yake ya magogoni. pinda aka 'malkia wa nyuki' akiachishwa kazi yale makunyanzi yataongezeka mara dufu.
 
Back
Top Bottom