Nifanyeje nipunguze kitambi aka kifriji?

mimi mwenzako nina mwezi sasa napambana nacho nilikuwa na kilo 90 nimepunguza kilo 5 kwasasa lakini kitambi bado kipo.naendelea kupambana nacho.
 
fuatisha doze hii(angalizo doze hii ni kwa mtu mmoja)
asubuhi; kula nyama kilo moja,grand malt 2,mayai yakukaanga 5 kisha lala.mchana :maini kilo 1 nusu tumia na wali pamoja na mikate yenye blue band ya kutosha pia juis ya tropical embe kisha kaa ukitazama comed au jf akikisha unacheka sana .jion:andaa chipsi mayai na safari 2 baridi.tumia doze hii kwa wiki nne kitambi kama si kuishi kitatokomea kabisa.
 
Ndugu wana JF. Siku hizi naona kitambi kimeanza kuninyemelea. Nifanyeje ili nikikwepe? Naomba msaada wenu tafadhali.

Kakope pesa benki, uweke nyumba dhamana halafu utumie hovyo ushindwe kulipa, nyumba ikiuzwa kitaisha na utakonda kabisa!
 
fuatisha doze hii(angalizo doze hii ni kwa mtu mmoja)
asubuhi; kula nyama kilo moja,grand malt 2,mayai yakukaanga 5 kisha lala.mchana :maini kilo 1 nusu tumia na wali pamoja na mikate yenye blue band ya kutosha pia juis ya tropical embe kisha kaa ukitazama comed au jf akikisha unacheka sana .jion:andaa chipsi mayai na safari 2 baridi.tumia doze hii kwa wiki nne kitambi kama si kuishi kitatokomea kabisa.

Mh! Mkuu hii dozi kiboko.
 
Uwe unavaa viatu vya kubana na kutembea Kimara Posta kwa mguu kila siku.
Hii dozi imethibitiswa na ISO sawa na tbs ya Tanganyika.
 
Hiko kitambi dawa yake rahisi sana. Kula sabuni ya mche kipande kimoja kisha malizia na juisi ya ukwaju.kikigoma kabisa njoo jamaica camp tukumpe sakramenti ya marasta
 
Back
Top Bottom