Recent content by henrykilenga

  1. H

    JamiiForums Tanzania Story yeyote uliyowahi kusikia kijiweni ukaona ni kamba (uongo)

    Eti nilisikia ufipa wataingia mjengoni [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] story za ndoto za mchana jua kali Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to start importing wheat from USA

    Sent using samsung galaxy note 10+ Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to start importing wheat from USA

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiii Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania CCM Ijifunze kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta

    Mambumbu ya ufipa ni mengi kuliko hata ya hao mnaowalaumu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yasitisha zoezi la kuchukua taarifa za fingerprints za watu

    Kwahiyo tusitishe kwakua wengine wamesitisha ... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyeanza ujasiria kwa mtaji wa kuku wawili, kapambana hadi hatimaye akamiliki benki

    [emoji23][emoji23]hata ufipa wanauza mayai ya kuku ila sasa... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

    [emoji2][emoji2]ufipa hawana hoja zaidi ya kupinga ... naona hapo umemkamata mfipa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Marekani na Trump wamefikia wapi kuiwekea Tanzania vikwazo? Jumatatu imepita

    Kwahiyo balozi wa marekani aliyeko tanzania hajui yupo nchi gani mpaka sasa au hata huyo balozi hatambuliwi na nchi yao Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa virusi vya Corona aripotiwa Kenya, mgonjwa wa kwanza apatikana

    We jamaa mimi nimekuelewa kwenye hoja yako .. swali ni kama tulificha WHO wasitukague na tukaficha maradhi mlishawahi kusikia kesi yoyote kuhusu ebola Tanzania .maana najua media zenu zinajua sana kuandika kuhusu Tanzania . Tupe maandishi na machapisho kuhusu ebola nchini kwetu Kama huna...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

    Kwahiyo kukosolewa hamtaki Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke mmoja afariki baada ya kuruka kwenye gari la wagonjwa

    Duhh inasikitisha sana aisee[emoji52] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Tanzania

    [emoji23][emoji23][emoji23] mwaka huu wanauliza ndege zina manufaa gani .... ufipa sio wa kuwapa hata uongozi wa kuku Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

    Kwani ofisi za ufipa ziko nairobi mbona hamkutaarifu wanachama wenu [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Kwahiyo kutoka 2014-2019 ulikosa ila wengine walipata mfano mimi nilichelewa sikujiandikisha mapema ila nilikomaa mpaka nikapata kitambulisho tukubali tu tulizembea sana japo kwa sasa tunajisahau mno na kuona serikali haiwezi kufanya chochote Sent using Jamii Forums mobile app
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Wabongo tuache kulalamika mimi nilienda nida pale kinondoni mwaka 2018 mwezi wa 3 nilikuta kweupee hakuna watu nikajaza form nikakaa wiki nikaenda kupiga picha baada ya wiki 2 nikapata kitambulisho .. ukiwauliza watu miaka yote hiyo walikua wapi watakwambia foleni Wacha sheria zitunyooshe tu...
Back
Top Bottom